Acha hao waongee tu Miongoni mwa Maswali ya TMO lilikuwepo Swali la TIN na Benefits zake (Ss sijui wao wanataka Maswali gani ndy wajue wanapima uelewa wa Mtu)Ntakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,
Moja ya swali waliloulizwa, lilikua ni kwa namna gani watahakikisha wanazuia migomo vyuoni toka kwa wanufaika wa mikopo.
T.M.O Waliulizwa, nini mamlaka ifanye kuhakikisha kuwa kodi inakusanywa to the maximu?
Huoni hizi ni aina ya result oriented qn?
kB 30 🤣🤣🤣Dah kamkeka kamchongo aisee databse gani hyo ss watu ata 50 hawafiki
Ndio maana wamevizia watu wamellaa[emoji2][emoji2][emoji2]Pdf za kimchongo sana zinatoka.
Ahadi ni deni mkuu, hahahaaSiku nikilamba asali nitatoa 100k kwa majobless wenzangu wa huu uzi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuona nafasi za PSRS zitangazwe, hawa watakuwa ni wa Database.wahusika mkachukue barua zenu mtuwahishie na sisi plasementi pale migiroView attachment 2539873View attachment 2539874
Ndio maaaa tunakwambia Utumishi changamoto yao ni hayo maswali. Lengo la ORAL interview nikumpima candidate mfano ni vile wanavyofanya private sector sio kwamba utumishi wafanye kama private BALI waulize maswali subjective kama ORAL interview inavyotaka.Pia haya maswali mengi hayafai kuuliza mchanganyiko wa entry graduate na wenye experience haya maswali pia yanatumika sana kwa private sectors sana, na unavojiandaa na private sectors hujiandai sawa na utumish naomba tusichanganye mambo.
We unajibia maswali kwenye keyboard unaona rahisi sana, Maswali haya yanahitaji uwe unajua na uwe na logical reasoning na on top of that ni subjective in nature sio yale ya kwenu ya ku-LIST.how to stay with current tech,ur most successful project, na bra bra nyingine kwa kusoma kwangu miaka 4+ na kufanya field tu huni chomoi hata swali moja hata nisipo Soma.
sasa ukitaka kujua utumishi wapo vizur kwenye io list yako kuna maswali kama sijapitia notes sitoboi, kama """time u have use logic to solve engineering problem""" lazima uwe na idea ya darasan ya logic na lazima upitie halafu uchanganye na kazi ambyo ushawai kuifanya kupitia logic, au uwe na idea logic ya darasani ina solve vipi izo plm
duuh.Usirudie tena kusema hivi Darasa lenye watu 300 unaweza kuwa na watu wanaoqualify kufanya kazi watano tu. Kupata degree ya TANZANIA na kufanya kazi ni vitu viwili tofaut
Ni hatari.Ila ili jukwaa kwa ujuaji dah😂😂😂😂
unafahamu aina oral interview?????Ndio maaaa tunakwambia Utumishi changamoto yao ni hayo maswali. Lengo la ORAL interview nikumpima candidate mfano ni vile wanavyofanya private sector sio kwamba utumishi wafanye kama private BALI waulize maswali subjective kama ORAL interview inavyotaka.
Wewe kaa na Utumishi wako muendelee kubandika (cramming) na kubandua plus madesa kibao kwenye begi lakini ujue hiyo sio ORAL interview.
unafahamu aina za oral interview?????Ndio maaaa tunakwambia Utumishi changamoto yao ni hayo maswali. Lengo la ORAL interview nikumpima candidate mfano ni vile wanavyofanya private sector sio kwamba utumishi wafanye kama private BALI waulize maswali subjective kama ORAL interview inavyotaka.
Wewe kaa na Utumishi wako muendelee kubandika (cramming) na kubandua plus madesa kibao kwenye begi lakini ujue hiyo sio ORAL interview.
Ushawai ona wapi scientific fact are subjective, nimekupa mfano aina ya maswali ya utumishi kwenye list yako, leadership skills, zipo kabisa adi mm nimezisoma class mwingine hawez kumbuka kama haja pitia, kun swali la kuandika report, report ina vitu unatakiwa ufate wakat wa kuandika huwez amka tu hujapitia ukaingia interview sio wote watakumbuka, unataka watu watu wasiende na notes wakisoma.
halafu oral haipo limited kwenye maswali kama ww unavotaka, oral ni usaili wa kuongea as long unaongea pale huandik thats iz oral inajitosheza, na ile ni gvt imeandaa mfumo wa kupima watu objective ili isi waonee ku grade subjective question ni ngumu brother malalamiko yatakuwa mengi. @multi-skilled
Hongera sana Mdau ukawe mtumishi mwema.Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
hongera mkuu, wewe ndio balozi limited? na vp umechomoka kwa database ,funguka mkuu?Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau
Ndio ndio mkuu,hongera mkuu, wewe ndio balozi limited? na vp umechomoka kwa database ,funguka mkuu?
Asante sana sote tutapata, tuwe na subira muda unakujaHongera sana Mdau ukawe mtumishi mwema.
hongera afsaNdio ndio mkuu,