HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila kiukweli hata mimi maswali ya oral ya utumishi nilishanga hayaona utofauti na written sikujua walichopima kwenye written hawakupata au hawajui kuwafanyia watu usahili
[emoji23][emoji23] ni maswali ya UE huwezi kusema ni oral interview ile
 
Wanapima kumbukumbu zako juu ya ulichokalilishwa chuo
Bila shaka standards questions zinahitaji standard answers.

Kama set ya standard questions inaweza kupatikana kwa ku-google, ni dhahiri hata majibu "standard" yatapatikana kwa ku-google.
 
Bila shaka standards questions zinahitaji standard answers.

Kama set ya standard questions inaweza kupatikana kwa ku-google, ni dhahiri hata majibu "standard" yatapatikana kwa ku-google.
Mzee wangu hakuna ujanja ujanja kwenye subjective interview you give explanations in relation to your job requirements, unajiuza wewe na skills, knowledge na uwezo wako.

Kama unaweza kugoogle conversation well go on but for me ORAL interview haina maandalizi sababu ni conversation, i talk you talk.

Hakuna cha aaaaaah the the NO tell us why, how et
 
Nimesoma mind yako hauhitaji kuniambia upo mlengo gani! I just lay down my guard kuruhusu yapite Mkuu vipo vingi vya msingi vya kujadiliana.
Una upeo wa hali ya juu sana, hongera kwa kuwa na talanta ya kuweza kusoma "mind" ya mtu.
 
Kikubwa mtu mwenye degree yake hiyo kazi ya kada yake atafanya hata bila ya interview.
Usirudie tena kusema hivi Darasa lenye watu 300 unaweza kuwa na watu wanaoqualify kufanya kazi watano tu. Kupata degree ya TANZANIA na kufanya kazi ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom