HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Usirudie tena kusema hivi Darasa lenye watu 300 unaweza kuwa na watu wanaoqualify kufanya kazi watano tu. Kupata degree ya TANZANIA na kufanya kazi ni vitu viwili tofauti
Hayo ni maoni yako, mimi uwezi kunambia eti nimeandaliwa chuoni kuwa msimamizi wa sera, pia sheria, miongozo na kanuni za kazi husika halafu ushindwe fanya kazi?

Huko INGO's kuna mtu amesoma education na anapiga kazi kama public health officer.
 
Mm niliona ni uhuni tuu kwani mtu written kafanya vzr bado unarudi na kipimo kile kile, afu pia hata watu wa kwenye panel nao weupe, alafu mtu aliyefanya vzr written kwa maswali ya aina mmoja unaiambiwa oral hakufanya vzr
Panel unakuta nao wame memorized answers, ukibadilisha neno Moja TU umekwanda na maji
 
Hakuna ART wala SCIENCE kwenye oral

Angalia standard maswali ya engineer world wideView attachment 2539793
how to stay with current tech,ur most successful project, na bra bra nyingine kwa kusoma kwangu miaka 4+ na kufanya field tu huni chomoi hata swali moja hata nisipo  Soma.

sasa ukitaka kujua utumishi wapo vizur kwenye io list yako kuna maswali kama sijapitia notes sitoboi, kama """time u have use logic to solve engineering problem""" lazima uwe na idea ya darasan ya logic na lazima upitie halafu uchanganye na kazi ambyo ushawai kuifanya kupitia logic, au uwe na idea logic ya darasani ina solve vipi izo plm
 
Hakuna ART wala SCIENCE kwenye oral

Angalia standard maswali ya engineer world wideView attachment 2539793
Pia haya maswali mengi hayafai kuuliza mchanganyiko wa entry graduate na wenye experience haya maswali pia yanatumika sana kwa private sectors sana, na unavojiandaa na private sectors hujiandai sawa na utumish naomba tusichanganye mambo.
 
wahusika mkachukue barua zenu mtuwahishie na sisi plasementi pale migiro
0D452318-2868-46A4-A958-9B3D199B3C76.jpeg
713E095C-9085-4E65-8D14-69404928717D.jpeg
 
Back
Top Bottom