HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
Mimi nashindwa kumwelewa, anashindwa kutofautisha kati ya msimamizi wa sera, msaidizi na fundi nchundo.

Pia anashindwa kutofautisha kati ya Govt. na Private set up, pia kati ya profitable na Non-Profitable institution.

Pia anasahau kuwa kuna entry post na experienced post, tena haujui kuwa mtu wa degree ya kazi husika hashindwi kufanya hizo kazi.

Mwisho ni kwamba, hata kama sijafanya field ya kazi husika, lakini zile SOP nimezimeza na nikazishuka kulingana na maswali husika si natoboa interview.
 
Aiseeee
Tunachotaka kwanza ni kufunguliwa mirija ya asali....
PDF jina lionekane
Uhakika ni pale check namba imesoma
Uhakika zaidiiiiii ni ile payment ya mwanzo kabisa ya kujikimu uone imesoma kwa simu
Uhakka wa ukweli zaidi...yaan sasa hapo ni pale unaweka ATM kwa mashine na unadroo unayotaka

Aiseeeee
Kwann kazini usitie juhudi kuimasta jaman
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima watu wachoke hakuna anaetamani kukutana na ile panel, ila maswali yangekuwa ayo ya subjective nani angeogopa saili za PSRS but pia wawo ingekua mtiani kutoa grade nani apate nani akose maswali yapo subjective.
Nimesema huko juu kuwa wengi mnaziona interview za Private sector kama ni common lakini msichojua ni kuwa kila jibu unalotoa linapima Knowledge, skills na abilities zako so ni same and common questions but never common answers.

Mfano:

How do you become an expert on the products or services you are marketing?

Hilo swali hapo juu ni rahisi ila kwa sababu ni subjective majibu yake hayawezi kuwa sawa kwa kila candidate.
 
Na ndipo interviewer anapo dig deep kumjua candidate sababu subjectivity ina muexpose mtu anakipi special.
 
Mimi nashindwa kumwelewa, anashindwa kutofautisha kati ya msimamizi wa sera, msaidizi na fundi nchundo.

Pia anashindwa kutofautisha kati ya Govt. na Private set up, pia kati ya profitable na Non-Profitable institution.

Pia anasahau kuwa kuna entry post na experienced post, tena haujui kuwa mtu wa degree ya kazi husika hashindwi kufanya hizo kazi.

Mwisho ni kwamba, hata kama sijafanya field ya kazi husika, lakini zile SOP nimezimeza na nikazishuka kulingana na maswali husika si natoboa interview.
Narudia tena shida sio taasisi, shirika au kampuni shida ni kuwa ORAL interview inatakiwa ikupime wewe una uwezo gani, ujuzi gani na maarifa gani ya kufanya kazi husika mingine ni mifano tu
 
Nimesema huko juu kuwa wengi mnaziona interview za Private sector kama ni common lakini msichojua ni kuwa kila jibu unalotoa linapima Knowledge, skills na abilities zako so ni same and common questions but never common answers.

Mfano:

How do you become an expert on the products or services you are marketing?

Hilo swali hapo juu ni rahisi ila kwa sababu ni subjective majibu yake hayawezi kuwa sawa kwa kila candidate.
Rafiki yangu labda kama ni interview za art sijajua fresh pande io ila za science itakubid u link na materials ya darasan you cant escpae to be objective.
 
Hakuna ART wala SCIENCE kwenye oral

Angalia standard maswali ya engineer world wide
Screenshot_20230306-215152.jpg
 
Back
Top Bottom