HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
tuma screenshot kaka.
Screenshot_20230306-164918.png
 
Sema inacheza cheza
Mara uikute hyo new
Mara usiikute
Itakuwa ni wao wenyewe huko wamechanganyikiwa
Iko hivi ukifungua placement ikiwa ishatime out mda wa kukaa idle unapokua umelog in ndo anaonyesha new ila ikiwa active itaonyesha no placement found ko haina maana yoyote jaribuni kulog in muone kama iyo new itaonekana.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mm sioni tena hyo new
Mara nkiingia tena naiona
Sasa sielewi ndo nn[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway haya ni kutishana tu uhakika ni PDF
lkn uhakika zaidi ni pale umepokea barua na umeripot kwa muajiri...uhakika saaaana ni pale umepewa 1st installment ya asali
 
Ukiiona hiyo new ujue hujalog in ndo maana utakapojaribu kufungua my application itakuomba credentials.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mm sioni tena hyo new
Mara nkiingia tena naiona
Sasa sielewi ndo nn[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway haya ni kutishana tu uhakika ni PDF
lkn uhakika zaidi ni pale umepokea barua na umeripot kwa muajiri...uhakika saaaana ni pale umepewa 1st installment ya asali
Sasa ile uhakika uhakika kabisa ni pale umetoka ATM kuchomoa mzigo
 
Sema aiseee kwa kweli wiki ilopita imepita kimya kmya kama masihara...
Na hii nayo ikipita nadhani ndo mwaka wa fedha usubiriwe tu hakutakuwa na namna ingine
 
Back
Top Bottom