HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
For a profit oriented business lazima apitie hizi mambo ila for service oriented sioni kama kuna haja
Come on man

Huko kwenye service oriented

1. Hakuna complaints?
2. Hakuna pressure?
3. Hakuna Team?
4. Hamuendi na muda?
5. Hakuna challenges?

Mna mention tu huko?
 
Sorry, umefanya Oral ngapi?

Anakuwepo muwakilishi pale wa tasisi husika ila sio guaranteed kuwa ilivyo ndio itakavyokuwa.

Nimefanya oral 3. Na oral moja sikuona muwakilishi wa taasisi. (Hii ilikuw ya kitofauti kidg maana na polisi walikuwepo kunisahili).

Mkeka wa mwisho unakuw released na PSRS mwajiri anasubir watu.

Mbili hao wanaobaki database je mwajiri anakuwepo kwenye kuwavuta?
Niliyofanya na nikapata kazi ilikuwa hivyo. Na hata ambazo wengine wameenda pia zilikuwa hivyo
 
Umeona sasa. Kama PSRS WANAAMINIKA why vyuo vijitegemee ktk sahili na psrs wawe facilitators?!

Zipo, siwez taja hapa.. Tatz ni kubwa mno.

Vyuo huwa wanataka watu wao mapema ili wakaanze training(masters) kulingana muda wao wao walioupanga, ndio maana wanalazimika kuchukua jukumu la kuendesha hizo sahili kwa sharti la uangalizi wa mamlaka ya usahili(PSRS).

Kama huwezi kuzitaja humu kama ulivyotaja taasisi za vyuo basi hazipo inabaki kuwa nadharia.
 
Sorry, umefanya Oral ngapi?

Anakuwepo muwakilishi pale wa tasisi husika ila sio guaranteed kuwa ilivyo ndio itakavyokuwa.

Nimefanya oral 3. Na oral moja sikuona muwakilishi wa taasisi. (Hii ilikuw ya kitofauti kidg maana na polisi walikuwepo kunisahili).

Mkeka wa mwisho unakuw released na PSRS mwajiri anasubir watu.

Mbili hao wanaobaki database je mwajiri anakuwepo kwenye kuwavuta?
Kanuni za uendeshaji usaili za PSRS umezisoma kapitie halfu utaiju haki yako pale inapo tokea usaili haupo sawa na uwe unajaribu kuwauliza, kama hujauliza hina haki ya kulalamika.
 
Pole sana mkuu, kumbuka kazi nyingi ni entry level, kazi ambazo kabla ya kuanza lazima upate training namna kazi inavofanyika.

Zile chache zinazohitaji C.V nzito, huainishwa katika tangazo, ni UONGO kusema jamaa hawatazami C.V ilhali portal ina ina generate C.V kwa kujaza kwa ukamilifu.

Pole sana kijana.
Ndugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.

Lini uliulizwa swali kulingana na ulichoandika ktk Cv? Au hujawah ingia oral za psrs?
 
Ndugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.

Lini uliulizwa swali kulingana na ulichoandika ktk Cv? Au hujawah ingia oral za psrs?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani waajiri wanalalamika.
 
Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali

1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc
Hata sample za maswali aina hii hayana "relevance" yoyote ile katika kupima umahiri wa msailiwa.

Maswali hayo watu hukariri majibu na kwenda kutema mbele ya panel, sio kipimo sahihi kabisa.
 
Vyuo huwa wanataka watu wao mapema ili wakaanze training(masters) kulingana muda wao wao walioupanga, ndio maana wanalazimika kuchukua jukumu la kuendesha hizo sahili kwa sharti la uangalizi wa mamlaka ya usahili(PSRS).

Kama huwezi kuzitaja humu kama ulivyotaja taasisi za vyuo basi hazipo inabaki kuwa nadharia.
Ni nadharia.
 
Kuna taasisi kama NIC,NHIF,NSSF,PSSSF,TBS hawa wanatoaga wapi wafanyakazi?? Maana sijawahi kuona tangazo lao PSRS au ndo kupenyezana huko na wengine kada zetu zime base uko ni nadra sana kada zetu kufanya usaili aisee ni changamoto sana wakuu
NHIF washawahi kutangaza nafasi kupitia PSRS, hao wengine sijawahi kusikia.

Ndio maana tunapiga kelele mambo yafanywe kwa uwazi hasa kupitia PSRS japo mapungufu yapo ila jamii nzima itajua kuna nafasi zimetangazwa.

Kama wao wana mtindo wa kuajiri, ndio hatuwezi kuzisikia kwa sababu waliopo kule wataanza kuwapeleka wanaowajua ili wakapate hizo nafasi
 
Kanuni za uendeshaji usaili za PSRS umezisoma kapitie halfu utaiju haki yako pale inapo tokea usaili haupo sawa na uwe unajaribu kuwauliza, kama hujauliza hina haki ya kulalamika.
Kanuni hizo hizo zinasemaje kuhusu utokaji wa placement after oral? Je ulinyanyua miguu yako kwenda kulalamika?
 
Back
Top Bottom