HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,aloooo wana JF wote lazma tuwepo kwenye hilo tren asee,tuzidishe tu maombi mana sisi part yetu tushaifanya now tunamwachia Mungu akatutetee.
Tucheke tupunguze stress, maana kuna baadhi ya kada watu 1000+ wamepiga Oral interview.
Tuombeane heri wote tuwepo humo kwenye MEGA PDF la MDA na LGA ili uzi u'evolve uwe wa vicoba vya watumishi wa umma.🙏🙏
 
Tucheke tupunguze stress, maana kuna baadhi ya kada watu 1000+ wamepiga Oral interview.
Tuombeane heri wote tuwepo humo kwenye MEGA PDF la MDA na LGA ili uzi u'evolve uwe wa vicoba vya watumishi wa umma.[emoji120][emoji120]
Amen Amen, kabisa
 
Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee
hizi za takukuru wametoa kupitia web yao?? naomba kueleweshwa waungwana
 
Basi kheri, tupo pamoja wote humu kutoka vyuo mbalimbali, taaluma mbalimbali na itikadi mbalimbali. Ila lengo letu ni moja, kuunganishwa kwenye bomba la taifa la asali ya nyuki wadogo na wale nyuki wakubwa.
Mungu atujalie haja za mioyo yetu, AMEN🙏🙏
 
Basi kheri, tupo pamoja wote humu kutoka vyuo mbalimbali, taaluma mbalimbali na itikadi mbalimbali. Ila lengo letu ni moja, kuunganishwa kwenye bomba la taifa la asali ya nyuki wadogo na wale nyuki wakubwa.
Mungu atujalie haja za mioyo yetu, AMEN[emoji120][emoji120]
Amina[emoji120][emoji120]
 
Bomba la asali au sio
 
Tuzidishe maombi mkuu
 
Back
Top Bottom