HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • Screenshot_20230213-001054.png
    Screenshot_20230213-001054.png
    82.8 KB · Views: 29
ivi wakuu mbona hizi saili za vyuo hususani tutorial assistant kwa vyuo vikuu mbona status hazibadiliki tangu niwe shortlisted haijabadilika na oral nikishafanya japo nilikosa nafasi kada ilikua inahitaji mtu mmoja tu nilifika oral lakini sijawahi ona selected for oral
Umefanya lini na status inasomekaje kwenye app
 
Hapa ndo kijiweni, tupo sana. Kuna pdf la Mama Mhagama na Mzee Kitenge watu 1700, hili litoke kabla ya zile pdf za Nov na Dec🤪
Kikubwa kuomba kuwemo tu kaka,Mungu ajalie....
Mola Jalia,Twaomba Tufike Salama,Aiyolee Ambaaaa....Aiyolee Ambaaaa.......Mambo ya JKT..
Ajira Sasa mtu ukipata ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
 
Kwani data base inaanza kuhesabakika kuanzia lini placement kutoka au baada ya oral tu?
Ili Swali ni Ngumu lkn Kwa Fikra za kawaida ni baada ya mchakato wa Ajira kukamilika na waliopata kupata na wakukosa kukosa (Kifupi database inaanza kuhesabika baada ya Wewe kukosa nafasi na sio Siku placement inapotoka)
 
Bora nijue nipo Database, gharama za.kwenda.kwenye interview zingine zinapungua....
Ni kipengele tuchukulie mfano TRA wanatoka Tangazo la Ajira Kwa Mwaka mara 1 ss ukiacha kwenda huko pengine huoni utajizibia Riziki Labda uwe km Mi nilie Sema nitaomba Kazi za TRA pekee yake mpk 2025 hapo ndy nitaanza kumix machaguo
 
Back
Top Bottom