HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivyo vipengele vinaongelea uwasilishwaji wa matokeo.

Kuna written zinafanywa kwenye majopo tofauti mfano kikanda...hivyo matokeo ya kila jopo yatakusanywa kupanga wa kwanza hadi wa mwisho.

The same na kwenye practical na Oral ikiwa kuna majopo tofauti.

Kujua kwamba matokeo ya written na Oral hayajumlishwi, soma kifungu cha 16 kipengele cha 3, hapo wanaeleza kabisa ikiwa usaili unahusisha practical na oral basi matokeo yatajumlishwa kupata alama za jumla.

Hakuna sehemu inaonesha matokeo ya mchujo kujumlishwa na matokeo mengineyo.
Asante kaka, nimekuelewa.
 
yaani wanachofanya utumishi,nikama kumchimbia mtu kisima ukamaliza kwa vifaa na garama zako then badala akulipe. bdo anatangaza tender kwa watu wengine wakisakafie ,huku fundi bdo uelewi kuhusu malipo yakazi yako.
Mkuu,

Nadhani Sekretarieti wanaongozwa na kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kuboresha utendaji wao. Dhamana ya kuidhinisha matokeo ya saili imewekwa kwa bodi ya sekretarieti ambayo hukutana mara 4 kwa mwaka Kwa mujibu wa kanuni zao. Wakikutana ndio huidhinisha waombaji wa usaili na wale waliofaulu saili zilizokwishafanyika.

You can see panaweza kuwa na span ya zaidi ya miezi sita Ili uidhinishwe kuwa umepata usaili na kwenye kuidhinishwa kuwa umefaulu usaili. Hii ina maana kikao kitakachokupitisha kufanya usaili si kitakachokupitisha kwenda kazini.

Sijajua kwanini bodi hukutana mara 4 tu kwa Mwaka lakini nadhani wao watakuwa na sababu muhimu juu ya hilo. Yawezekana hii bureaucracy Inaonekana ni kikwazo lakini pengine ndio imekuwa chachu ya kuhakikisha kunakuwa na usawa na haki katika utendaji Wa sekretarieti.

Labda pengine itoke rai kwa utumishi kuwa wale waliofaulu usaili na kusubiri kuidhinishwa wajulishwe kwa namna watakayoona inafaa either kwa email au kupitia status ya mwomba ajira kuwa yuko PENDING FOR CONFIRMATION. Lakini pia pengine hilo lina ugumu wake kwenye utekelezaji sisi wa nje hatuwezi kujua.

So far sekretarieti ya ajira imebadili mambo mengi mno tangu kuanzishwa kwake 2010, mengi yaliyopo leo hayakuwepo na yamekuja Baada ya kuonekana upungufu kwenye kilichokuwa kikifanyika awali. Tuzidi kutoa maoni pale tunapoona kunawezekana kuboresha zaidi.
 
kumbe matokeo yote kuanzia written hadi oral yanaunganishwa kupata average mojaView attachment 2520815

Hii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.
 
Sasa kama ni hivi, kwanini wasiwe wanatoa matokeo ya oral pia
 
Hii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.
Hapana si kweli ORAL ni separate business
 
Mkuu,

Nadhani Sekretarieti wanaongozwa na kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kuboresha utendaji wao. Dhamana ya kuidhinisha matokeo ya saili imewekwa kwa bodi ya sekretarieti ambayo hukutana mara 4 kwa mwaka Kwa mujibu wa kanuni zao. Wakikutana ndio huidhinisha waombaji wa usaili na wale waliofaulu saili zilizokwishafanyika.

You can see panaweza kuwa na span ya zaidi ya miezi sita Ili uidhinishwe kuwa umepata usaili na kwenye kuidhinishwa kuwa umefaulu usaili. Hii ina maana kikao kitakachokupitisha kufanya usaili si kitakachokupitisha kwenda kazini.

Sijajua kwanini bodi hukutana mara 4 tu kwa Mwaka lakini nadhani wao watakuwa na sababu muhimu juu ya hilo. Yawezekana hii bureaucracy Inaonekana ni kikwazo lakini pengine ndio imekuwa chachu ya kuhakikisha kunakuwa na usawa na haki katika utendaji Wa sekretarieti.

Labda pengine itoke rai kwa utumishi kuwa wale waliofaulu usaili na kusubiri kuidhinishwa wajulishwe kwa namna watakayoona inafaa either kwa email au kupitia status ya mwomba ajira kuwa yuko PENDING FOR CONFIRMATION. Lakini pia pengine hilo lina ugumu wake kwenye utekelezaji sisi wa nje hatuwezi kujua.

So far sekretarieti ya ajira imebadili mambo mengi mno tangu kuanzishwa kwake 2010, mengi yaliyopo leo hayakuwepo na yamekuja Baada ya kuonekana upungufu kwenye kilichokuwa kikifanyika awali. Tuzidi kutoa maoni pale tunapoona kunawezekana kuboresha zaidi.
umenijibu vizuri sana mkuu
 
Hii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.
ata mm nilivoelewa kila maksi lazima iunganishwe kutoka kila panel iliyosimamia usaili.
 
Na hapa umeelewaje?
Screenshot_20230217_224400.jpg
 
Watu wanaamua kukaza ubongo
Huu mvutano utakuwa kama wa status, aliefanya fresh written akazingua oral, atataka marks ziunganishwe, but alie zingua written akafanya vizur oral atataka oral peke yake itumike kama kanuni zinavidai.

Hatutapata majibu.

Kikubwa wale wenye shuhuda za marksi za chini let say ulipata 54 alafu mwamba ana 90 ila ukapata kazi yeye akakosa teremsheni hapa, kama hii scenario imewai tokea basi oral pekee ndo zinazingatiwa.
 
Hii na status ni vitu viwili tofauti...hii kila kitu kipo kwenye maandishi, ukituliza akili ukisoma kwa hatua utaelewa.
 
Kuna saili aina tatu;

1. Usaili wa kuandika
2. Usaili wa Vitendo
3. Usaili wa Uwasilishaji Maada
4. Usaili wa Mahojiano

  1. Ukiwa unafanya usaili wa kuandika, kinachofanyika ni kuchuja tu, marks zake baada ya kuwa selected unaziacha unaanza upya kwenye hatua inayofuata.
  2. Ukiweza kuwa selected hatua ya mtihani wa kuandika kwenda usaili wa mahojiano. Basi washindi wanapatikana kwa kuangalia marks za mahojiano pekee..
  3. Ikiwa usaili wako utahusisha usaili wa vitendo, basi marks za mtihani wa vitendo zitajumuishwa na marks za usaili wa mahojiano ili kuweza kupata mshindi/washindi
  4. Na kama usaili wako utahusisha uwasilishaji maada, basi marks za uwasiliashaji na za mahojiano zitajumuishwa ili kupata jumla ya maksi zako. Hii mara nyingi ni kwa kada za wanataaluma, na marks za ufauru huwa zinaanzia 70%>
Hope kidogo nimejaribu kufafanunua, kuhusu mkanganyiko waliokuwa wanadiscuss wadau.

Sasa tunachanganyikiwa tuamini kanuni au tuamini maneno ya watumishi, ili swala la maksi naona tuliwekee mbali kama status.
 
Back
Top Bottom