HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ety wadau, Kuna mtu Kashindwa kuitwa interview yoyote sababu ya kuandika barua kwa lugha tofauti na ya tangazo la Ajira..?
Kuna dada wangu Mdogo hapa kaniomba nimuombee kazi zilizotoka hivi karibu..
 
Ety wadau, Kuna mtu Kashindwa kuitwa interview yoyote sababu ya kuandika barua kwa lugha tofauti na ya tangazo la Ajira..?
Kuna dada wangu Mdogo hapa kaniomba nimuombee kazi zilizotoka hivi karibu..
Barua zote ziandikwe kwa Kiswahili/Kiingereza na zitumwe kupitia Anuani Tajwa iliyoambatanishwa kwenye Tangazo....
Mwombaji Asisahau kusaini Barua yake...
NB..Kabla ya Kuomba Nafasi yoyote hakikisha Profile yake imekamilika bila kuwepo na chochote kinachokosekana.Ndipo Hapo unatafuta tangazo la Ajira na masharti yake kwa ujumla then unaandika Barua yako na ku Apply...
 
Taasisi yetu bado hawajaanza kutoa master's programs. Wanaishia bachelor. Masters Kwa open and distance learning labda OPEN UNIVERSITY
Hongera Mzee baba.Piga kazi.Mheshimu sana yule mkurugenzi mwenye Shule yake Yake ya Watoto...Alikuwa mtu mwema sana kwako.Watu wema na Wenye roho kama Mkurugenzi wako wa zamani ni wachache sana.
Karibu sana Mbeya.
 
Back
Top Bottom