HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
unaniliza mwanangu ,usinikumbushe majeshi tena
Pole kaka usiwaze,Mungu anakuwazia Mema.Amini kwenye suala la Muda,kazi anayokupa Mungu inakuwa na amani sana.Huwezi jua kwanini ulienda Oral Interview baada ya Usaili wa UT.Kila jambo Lina makusudi yake.
Ni kuzidi kuamini kwenye njia zake Mungu tu.Tumtangulize yeye kwenye kila kitu...
 
Thank u champ, unaeza ona kma watoto wa familia za kikulima tumekuja kusota duniani, uwezo na jitihada unazo ila kutoboa mtiti
 
Suala la Muda TU kaka.Amini Kila jambo Lina mwisho na Mwanzo wake.Kikubwa ni kupambana mpaka hatua ya Mwisho kwenye kile unachoamini na Mungu naye atakubariki.Ukitia Juhudi Huku ukimtanguliza yeye hakuna linaloshindikana...
Kama mwanetu juzi kasema kafanya Saili nyingi sana na Moja ya Oral ndio kapata Kazi..
Kwenye kufanikiwa Kuna Siri nyingi sana,ila mapambano hayajawahi kuwa rahisi sana kaka.Kuna kuumia,kuumizwa kukatishwa tamaa na kila aina....
 
Nakubali sahihi kabisa
 
pamoja afsa
 
Leo saa 8 mchana Kuna pdf ya Taasisi Mbalimbali litapandishwa, hizi ni hints za ndani kqbisa kutoka kwa mtu wangu wa karibu pale mjengoni.

Jiandaeni wadau kufurahi na kuhuzunika pia.
Now naleft humu JF, tukutane saa 8 mchana.
Wale waendao kwenye Ibada ya Ijumaah basi Muwe na Ijumaa njema.
Turudi Mchana hapa kupongezana na kufarijiana
 
Hahahaha Mkuu Leo unajaribu kubahatisha.Hamna za ndani Wala nini.Wale jamaa Wana Viapo vya Siri Sana.Huwezi jua chochote nakwambia....
 
Ila hizi mambo za status kuna kaukweli ndani yake mimi kuna oral moja nimeingia tarehe 14 ila nimekuja check status nimeandikiwa NOT SELECTED FOR PRACTICAL...Ukicheki status kwa zile nyingne mbili nilizozifanya December na January mzigo ni SELECTED, so ninachotaka kusema status za kwenye App zina maana sana
Ni balaa balaaa..
 
Kama wewe ni jinsia ya kiume na una umri mdogo mfano miaka 21, 22...jitahidi sana upate marks nyingi kwenye kila usahili. Tofauti na hapo, utapata tabu sana. View attachment 2520004
Aged lazima tuingie kwenye system maana tunakimbizana na umri wa kustaafu. Wadogo zetu mtuwie radhi ila mpambane mpate marks nyingi sana.
 
Back
Top Bottom