Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,770
- 126,705
Daah, hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23] hatulali tunasubir placements
Daah, hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23] hatulali tunasubir placements
Not alwaysi mean selection is a computerized process according to set of criteria system.
the one with high marks are selected automatic by the system regardless of the institution choice.
Wale jamaa hawatabiriki..ila tusubiri kabla ya saa SITA tuone.mazaga one hebu tutabirie Leo, Kuna kaplacement chochote chaweza Toka au hii ngoma Hadi next week tu..?
Naomba kuuliza kwa ambao wameshapa placement utumishi, hii sehem ya Placement kwenye App inaonyesha sehem ulopangiwa au imewekwa tu haina chochoteView attachment 2519544
YakunleIla hizi mambo za status kuna kaukweli ndani yake mimi kuna oral moja nimeingia tarehe 14 ila nimekuja check status nimeandikiwa NOT SELECTED FOR PRACTICAL...Ukicheki status kwa zile nyingne mbili nilizozifanya December na January mzigo ni SELECTED, so ninachotaka kusema status za kwenye App zina maana sana
Course work wanafikisha lakini?!!!Mungu awe na wote wanaosuniria placement
Hii taasisi yetu Iko tofauti kidogo.Course work wanafikisha lakini?!!!
Mwanaume hata kama ni above 35, ukipata marks sawa na binti wa miaka 21 atachukuliwa binti[emoji848]Kama wewe ni jinsia ya kiume na una umri mdogo mfano miaka 21, 22...jitahidi sana upate marks nyingi kwenye kila usahili. Tofauti na hapo, utapata tabu sana. View attachment 2520004
uyo mwanaume anakaribia 45 age umri wa kutoajiriwa serekalini nadhani iyo criteria haipo sawa.Mwanaume hata kama ni above 35, ukipata marks sawa na binti wa miaka 21 atachukuliwa binti[emoji848]
Distance learning ina masters? Vigezo jeHii taasisi yetu Iko tofauti kidogo.
Wanafunzi wanasoma kupitia mfumo wa open and distance learning
Mwanaume umeumbwa matesoMwanaume hata kama ni above 35, ukipata marks sawa na binti wa miaka 21 atachukuliwa binti[emoji848]
Kuhangaika...Mwanaume umeumbwa mateso
Si haba tutaenda kupambana hzo siku 90Akuna alielamba asali REA
Uzuri ni renewable ....Si haba tutaenda kupambana hzo siku 90