HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah kama nawaona watu wanavochomoka kimya kimya kwenda kuchungulia rangi😅😅
Hahaa usipanick kaka kimsingi ukiona huna not selected kwenye app. Bado upo kwenye competition ila sio umepata kazi , na competition inakua bado kubwa coz wachache mno ndo wanaarib na huenda kwenye post yenu hakuna hata alie aribu so wote mna compete kama mlivo kutana oral.
 
mchambuzii
 
i mean selection is a computerized process according to set of criteria system.

the one with high marks are selected automatic by the system regardless of the institution choice.
Sahihi ila hatua ya oral ukitoka tu unaeeza jua hapa nimeboronga au laa selection ya computer huwa ni upande wa data base wanapewa taarifa kuna kibali number flani kinajitaji watu flani basi IT wanacheck kulingana na idadi hitajika na huwa hamuonei mtu kulingana na mpishano wa marks za oral
 
point yangu ni kwamba mfumo ndo unachagua atakaekuwepo kwenye placement kulinganga na criteria zilizosetiwa kwenye mfumo , maana kila panel itaingiza matokea yake kwenye mfumo. mfano panel iliyosimamia written itayaingiza matokeo, panel iliyosimamia prac itayaingiza matokeo kweny mfumo na panel iliyosimamia oral itayaingiza matokeo kweny mfumo. Baadae system ita select yenyewe mtu anayestahili kupata kazi kwa kufuata criteria alizo set IT.

Panels na institution ni kusimamia tu michakato kiuadilifu bila kumuonea mtu katika scoring of marks ila wao hawahusiki katika selection.
 
laleni wakuu
 
Ila hizi mambo za status kuna kaukweli ndani yake mimi kuna oral moja nimeingia tarehe 14 ila nimekuja check status nimeandikiwa NOT SELECTED FOR PRACTICAL...Ukicheki status kwa zile nyingne mbili nilizozifanya December na January mzigo ni SELECTED, so ninachotaka kusema status za kwenye App zina maana sana
 
Back
Top Bottom