HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Null zimekua adimu na Practical haipo....Saiz tupo na Oral......Ila ukweli ni kama wasemavyo wadau Status zinamaanisha pale tu inapoanza na NOT...tofauti na hapo hazina maana yoyote(Namaanisha baada ya kufanya Oral)
Tomorrow is another day let's wait for that. Tunaweza pata Pdf la kuanzishia weekend.
 
Umwagiliaj Mjiandae Naona Mnapita kwny Tanuru Sawa Na Tra Na Rea.
Sema Jamaa Wapo Slow Yani Tunakaribia Nusu mwaka wa bajeti ya 2022/23.
Wao Bado wapo na Recruitment Ya Ajira Za 2021/22.
Kasoro Hizi za Ulinzi Na Taasisi Nyingine Ambazo Hawajapita utumishi Karibuni Ndo Ajira za Mwakaa huu wa Fedha 2022/23.
Wanafeli.
 
Attachments

  • Waziri_wa_Nchi_Ofisi_ya_Rais_Menejimenti_ya_Utumishi_wa_Umma_na_Utawala_Bora_Jenista_Mhagama_a...mp4
    14.2 MB
Umwagiliaj Mjiandae Naona Mnapita kwny Tanuru Sawa Na Tra Na Rea.
Sema Jamaa Wapo Slow Yani Tunakaribia Nusu mwaka wa bajeti ya 2022/23.
Wao Bado wapo na Recruitment Ya Ajira Za 2021/22.
Kasoro Hizi za Ulinzi Na Taasisi Nyingine Ambazo Hawajapita utumishi Karibuni Ndo Ajira za Mwakaa huu wa Fedha 2022/23.
Wanafeli.
Naona sasa Wakulima tumefikiwaa......Week ijayo haaishi PDF la wakulima litakuwa OUTCHAA!!!
 
Kazi iendelee baada ya TRA na REA karibu pdf ya NIRC(Bodi ya Taifa ya umwagiliaji) tunakusubiri tukuone.
PSRS wenyewe wanafanya kazi kwa matamko. Sasahivi pdf za mwaka jana zinawekwa kando kwanza, wa deal na za mwaka huu za NIRC. Au huenda psrs wenyewe wana uhaba wa rasilimali watu, ndiyo maana kazi zinawaelemea. Oral za tokea October hadi leo wameshindwa kukamilisha mchakato
 
Kwaio hio inamaanisha wa november na dec watulie placement za wakubwa zipite kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Hiiii dunia basi tu.
Umwagiliaj Mjiandae Naona Mnapita kwny Tanuru Sawa Na Tra Na Rea.
Sema Jamaa Wapo Slow Yani Tunakaribia Nusu mwaka wa bajeti ya 2022/23.
Wao Bado wapo na Recruitment Ya Ajira Za 2021/22.
Kasoro Hizi za Ulinzi Na Taasisi Nyingine Ambazo Hawajapita utumishi Karibuni Ndo Ajira za Mwakaa huu wa Fedha 2022/23.
Wanafeli.
 
PSRS wenyewe wanafanya kazi kwa matamko. Sasahivi pdf za mwaka jana zinawekwa kando kwanza, wa deal na za mwaka huu za NIRC. Au huenda psrs wenyewe wana uhaba wa rasilimali watu, ndiyo maana kazi zinawaelemea. Oral za tokea October hadi leo wameshindwa kukamilisha mchakato
Hivi unajua mchakato wa Ajira ndani ya week Moja tu baada ya oral majibu Huwa yanajulikana.
 
acheni psrs wafanye kazi polepole kwa weledi..
Kiufupi Ile siku ya Oral huwa kunawapo watu wa Taasisi husika ambao hushiriki kwenye usaili.Na Hapo ndio wao huamua nani na nani wamchukue na nani wamuache Huku wakishirikiana kwa Ukaribu na PSRS.........Kwa hiyo Mzigo wa Majina na mambo mengine huwa tayari.
Labda Taratibu za kitumishi ndio huchelewesha PDF za placements kuachiwa...
Huoni baada ya Kauli ya Mhe.Rais placements hizo za TRA na REA zimetoka chapu tu,maana yake Majina yalikuwa tayari kwenye Rekodi.

Baada ya vikao hivyo na Mhe.Waziri na PSRS tutegemee hawatomuangusha Boss wao,na Tutegemee Placements nyingi sana za mwaka Jana au za mwaka huu pia kutoka Kwa haraka na watu kuripoti vituo vya kazi.
#Kazi Iendelee
#SSH
#PSRS
Sekretarieti ya Ajira
 
Taasisi ndo inachagua watu au ni mfumo ?[emoji134] mnatuchanganya. si kila kitu kipo kwenye mfumo
 
Screenshot_20230216-231330.jpg
Screenshot_20230216-231442_231413.jpg

Mmmh kuna mabadiliko ya Rangi....sijui inamaana gani hii🤔
 
Back
Top Bottom