plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Majobless wenzangu huu uzi una kufanya kuamka na tumaini jipya mpaka pale Mungu atakapo fanya uwepesi na kuingia katika mrija
Placement ya NIRC itegemee mwezi May au April ikiwahi sana.Naona kama wizara ya kilimo(NIRC) wakiachia pdf yao kesho.
Mkuu kuna kada huwa zinatangaza post 3 tuu kwa mwaka. Na nyingine kwa mwaka mzima hazitangazwi kabisaVijana wenzangu, kwanza poleni kwa maumivu ya kutokupata kazi. Mimi naomba niwafariji kwa kujizungumzia mimi mwenyewe. Nilimaliza chuo 2017. Baada ya hapo nikaanza kuomba kazi kama vijana wengine walivyokuwa wanafanya. Leo nilikuwa nafanya majumuisho ni kazi ngapi nimeomba utumishi na ngapi nimeitwa na zipi sijaitwa. Nimekuta toka 2018(2017 sikuomba kwa sababu vyeti vilikuwa bado) nimeomba jumla ya kazi mbalimbali kutoka utumishi 34. Katika hizo nimekuta 10 zinasoma not shortlisted kutokana na sababu mbali mbali hasa vyeti. Lakini kama mnakumbuka kipindi cha nyuma utumishi ulikuwa ukituma maombi inakuandikia received tu basi. Hivyo katika hizo received 7 sikuzifanyaga interview kwa sababu mbali mbali ikiwemo kutokuitwa kwenye usaili. Hivyo kazi ambazo nilizifanyia interview jumla ni 17. Katika hizo ukiacha ya TRA na MDA & LGA nilizofanya mwishoni mwa Dec 2022 na mwanzoni mwa January 2023 ina maana nimefanya interview 14 bila kwenda oral(hizi kuna ambazo nilikuwa nakosa marks 1 na kuna nyingine hadi 0.5. Nilikuwa naumia ila nasema kuwa wakati wangu bado. Imagine pepa 14 bila kuingia oral ila siku niliyoingia oral yangu ya kwanza ndo imekuja kuwa kazi yangu. Niwaombe vijana wenzangu tusikate tamaa tuendelee kupambana. Lakini pia vijana tunatakiwa tujue tunataka nini na nini matamanio yetu(hili ntalizungumzia post inayofuata)
Naona kama wizara ya kilimo(NIRC) wakiachia pdf yao kesho.
Wakitoa ya NIRC ya January kabla yangu ya December NaandamanaNaona kama wizara ya kilimo(NIRC) wakiachia pdf yao kesho.
Hapana haionyeshi chochoteNaomba kuuliza kwa ambao wameshapa placement utumishi, hii sehem ya Placement kwenye App inaonyesha sehem ulopangiwa au imewekwa tu haina chochoteView attachment 2519544
Aah sawa!Hapana haionyeshi chochote
Mimi na wewe hatujui...HIVI HAWA JAMAA WA UTUMISHI WALISHAWAHI KUTOA PLACEMENT MBILI AU ZAIDI NDANI YA SIKU MOJA AMA NDO TUSUBIRIE PDF INGINE ANAZA DEI?
Ndio nn mbona una shtua watu
Status hazina ishu pasua kichwa tuNasemajeee! IT wa PSRS amerudisha mpira kati...kote Web na App inasoma SELECTED FOR Oral😁
lazima tudate safarii hiiNasemajeee! IT wa PSRS amerudisha mpira kati...kote Web na App inasoma SELECTED FOR Oral😁
Kwa hiyo Hamna mwenye NULLNasemajeee! IT wa PSRS amerudisha mpira kati...kote Web na App inasoma SELECTED FOR Oral😁
Null zimekua adimu na Practical haipo....Saiz tupo na Oral......Ila ukweli ni kama wasemavyo wadau Status zinamaanisha pale tu inapoanza na NOT...tofauti na hapo hazina maana yoyote(Namaanisha baada ya kufanya Oral)Kwa hiyo Hamna mwenye NULL