Kwanini usikimbiwe?

Kwanini usikimbiwe?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwani ugomvi jamani!!
Kama unaona ugomvi kakulie kwa baba yako naye mwanaume anaweza kukuhudumia. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama unaona ugomvi kakulie kwa baba yako naye mwanaume anaweza kukuhudumia. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mweeeeh shemeji sio vizuri ujue, huo utakuwa ni uchoyo.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mweeeeh shemeji sio vizuri ujue, huo utakuwa ni uchoyo.
Mimi kweli mchoyo Shunie alinishawishi nikaingia kule. Nmefika nikashindwa kupavumilia nimetoka
 
Kuomba kuna mipaka sio kila ukipigia cm mwanamke ni kulia shida, wanaume wanajitahidi sana kuhudumia kulingana na uwezo wao ila kuna ukomo. Ila mizinga ikizidi na isiyo na maana hatuwezi kuivumilia unamwaga faster unachukua chombo kipya. Maana kuna KE wanalia njaa NOT TO THAT EXTENT
uko sawa inshort mm sijawahi kuomba pesa na sitowaweza hata siku moja. Yeye akiona inafaa anatuma mwenyewe ndivyo ilivyo.

Ila in general wanaume wengi (sio wot) ni wabahili
 
uko sawa inshort mm sijawahi kuomba pesa na sitowaweza hata siku moja. Yeye akiona inafaa anatuma mwenyewe ndivyo ilivyo.

Ila in general wanaume wengi (sio wot) ni wabahili
Ubahili wa wanaume wengi unatokana na maisha kuwa magumu na kuwa na vipaumbele vya maendeleo sio kuhonga, so wanawake nao wajitahidi kutafuta pesa ili nao waheshimike sio kulialia kupiga mizinga vinginevyo mostly girls watakuwa hawaoelewi kwa kuendezeka mizinga, itakuwa wanazalishwa then wanaachwa.

Hakuna mwanaume anayeentertain wapiga mizinga wacha mtu atoe akijisikia sio hadi KE unakuta kanuna kisa hajapewa pesa tena unakuta ana kazi na mshahara kabisa au mradi unaomwingizia kipato sasa unajiuliza hizo hela zake huwa anazipeleka wapi? Unakosa jibu.
 
Sasa wewe unahudumia halafu kuomba mechi nijifikirie labda km wewe CHAPUTA ....HUDUMIA HALAFU ACHA KUOMBA MECHI KWANINI USIKIMNIWE
 
Sasa wewe unahudumia halafu kuomba mechi nijifikirie labda km wewe CHAPUTA ....HUDUMIA HALAFU ACHA KUOMBA MECHI KWANINI USIKIMBIWE
 
Back
Top Bottom