Kwanini usikimbiwe?

Kwanini usikimbiwe?

mapozi mengi kama sanamu sa kwann isikimbiwe!!!!!!
 
Ukishika simu ya mwanaume unaikagua kuanzia screen hadi motherboard kama kuna sms za mchepuko? Wat do you expect...yaani mwanamke anaichunguza simu kuanzia social media mpaka anajisahau anaangalia setting kama ina clues za kuchepuka.? SERIOUSLY hata kama wivu thats beyond jelousy
 
Mwanaume bahili kama nn kwann usikimbiwe
Kuomba kuna mipaka sio kila ukipigia cm mwanamke ni kulia shida, wanaume wanajitahidi sana kuhudumia kulingana na uwezo wao ila kuna ukomo. Ila mizinga ikizidi na isiyo na maana hatuwezi kuivumilia unamwaga faster unachukua chombo kipya. Maana kuna KE wanalia njaa NOT TO THAT EXTENT
 
Tuheshimiane ntakusemea kwa yule mfuasi wa gwajima
kwani uongo??? yani hapa ofisini kuna wanaume kama watatu hivi akiwa karibu yako anakuelekeza kazi lazma ubane pumzi au uwe unaitoa kidogo kidogo la sivyo unaweza tapika, kuna huyo mwingine yeye utazani huwa haogi mana asubuhi tu ni harusi ya jasho, alafu wote hao ni waume za watu sasa huwa najiuliza hao wake zao wanavumilije hiyo hali, au na wao pia wanatoa harusi hizo hizo
 
Mwambie bosi aongee nao....kuna watu huwa wanakuwa na tatizo la kutoa harufu mdomoni ila wengi wakjua huwa wanatumia mouthwash kila baada ya masaa kadhaa...ww unaweza kumwambia mpenzi wako kuwa ananuka mdomo?!
 
Bebi gari ya rafiki yako nzur af siti zake cyo kama za gari yetu ambazo hazibinuki yakwake unbonyeza kibatan inalala yenyewe.hapo ukiagwa shukuru wengine hatuagaji
 
Mwambie bosi aongee nao....kuna watu huwa wanakuwa na tatizo la kutoa harufu mdomoni ila wengi wakjua huwa wanatumia mouthwash kila baada ya masaa kadhaa...ww unaweza kumwambia mpenzi wako kuwa ananuka mdomo?!
nna mume and yes, siku nikisikia harufu ambayo hainipendezi namwambia on spot, as utani lakni nakuwa na ndo naamanisha hivyo na muda kidogo tu mambo yanakushwari. Alafu kabla hatujaoana kipindi hicho ananifukuzia aliwahi kuniuliza nini ambacho hupendi kwa mwanaume cha kwanza nikamwambia yaani mwanaume anaenuka jasho na mdomo kwangu mwiko, so ananielewa vzr sana
 
Hahahahaha
 
Si vyema kwa Mwanaume kutumia manukato, Mwanaume anatumia Roll on tu, labda wa Dar maana uanaume wao Mara nyingi ni wamashaka.
 
mwanamke kitandani anaguna/hema tu kutoa saut anaogopa kwanini usikibiwe?

mwanamke hujisitiri why usikumbiwe

mwanamke gogo why usikimbiwe
 
Back
Top Bottom