Kwanini usikimbiwe?

Kwanini usikimbiwe?

Nimetoka Kumkimbia Mtu Mwanamke Hueleweki Kwa Nini Nisikukimbie??!!Bora Kuwa Single
 
Wanaume hujui kugegeda kwanini usikimbiwe,, mwanaume goli moja kwanini usikimbiwe,,,,,,mwanaume kisoseiji/kibamia kwann usikimbiwe
 
Ukishika simu ya mwanaume unaikagua kuanzia screen hadi motherboard kama kuna sms za mchepuko? Wat do you expect...yaani mwanamke anaichunguza simu kuanzia social media mpaka anajisahau anaangalia setting kama ina clues za kuchepuka.? SERIOUSLY hata kama wivu thats beyond jelousy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] not to that extent
 
Yaani mwanamke ukiamka asubuhi kwenye sebule ya wenzako kuangalia tv chumba chako kichafu kuoga Mara moja usiku kwanini nisitoke nduki
 
Natufuta mtoto ndiyo maana kila siku naomba mechi
 
"Mwanamke kila siku ukikutana na mpenzi wako unaomba mechi,kwanini usikimbiwe"...Kidume timamu hawezi chukia hiyo!..sema wewe pengine nyeto zimekumaliza..
[emoji1] [emoji1] [emoji106] jf raha san ,ukiwa na hasira basi majibu ya huku ni faraja tosha na utacheka tu
 
Wanaume hujui kugegeda kwanini usikimbiwe,, mwanaume goli moja kwanini usikimbiwe,,,,,,mwanaume kisoseiji/kibamia kwann usikimbiwe


Ha ha ha a a
Hapo ukute ni mbahiliiii halafu mkali kama pilipili... lazima umkimbie tu
 
Back
Top Bottom