Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Mwanaume
unavaa boxer siku 3 unanukia kibeberu beberu kwa nini usikimbiwe.
unavaa boxer siku 3 unanukia kibeberu beberu kwa nini usikimbiwe.
Muunge kabisa na miguu [emoji57][emoji57]Eti nisiombe pesa!!! Seriously!!!
Yaani kama hautaki kuombwa utoe tu mwenyewe mapemaaaa, lasivyo ni kuobwa tu.
Ila hilo la kutokuomba papuchi namuunga mguu na mkono.
Na ukikataa kuja chumbani, kwa nini usikimbiwe.Mwanaume kila siku mnataka mkutanie chumbani... Kwanini usikimbiwe?
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Mwanaume unanuka mdomo km karo la jela.. Kwa nn uckimbiwe??
utalimbiwa tuMwanaume huna pesa kwanini usilimbiwe.....
sisi midomo yetu huwa ina perfume natural itaanzaj kunuka?ila wanaume ndo huongoza kwa kunuka midomo khaaaaaaaaaaa
Meno ya dhahabu ujue ww unachukua denda lako unajikataa ama nn?Mwanaume mifizi imeoza afu linaomba denda,kwann nisikimbie???
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Muunge kabisa na miguu [emoji57][emoji57]
hawaeleweki na hawajui kabisawatakacho hivo nasi tunashindwa kujua wanataka niniHivi wanawake wanataka pesa au mapenzi?
Ukiwapa pesa watasema wanataka mapenzi, ukiwapa mapenzi wanasema wanataka pesa.
Navyojua kudai haki yangu juu hilo....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huhuhuuuu!!!
walaaa, roho zinapenda tu na maagizo ya Mwenyezi Mungu mume mtunze mkeoMpo selfish sana.
Haki ya kuombwa pesa?Navyojua kudai haki yangu juu hilo....
Huta balance usipotoa vyoteUnataka vyote kwanini usikumbiwe?
Pesa omba kama ipo wala sina shida...ila kikojoleo nacho 24/7 kiwe ON.Haki ya kuombwa pesa?
50:50, Mkipewa vyote kazi yenu inabaki kuwa na watoto mtaa mzimaNa we toa vyote
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pesa omba kama ipo wala sina shida...ila kikojoleo nacho 24/7 kiwe ON.