Kwanini usikimbiwe?

Kwanini usikimbiwe?

Mwanaume anaependa kulalamika lalamika kwann asikimbiwe!? Kutwa kumjadili m'mke
 
Ubahili wa wanaume wengi unatokana na maisha kuwa magumu na kuwa na vipaumbele vya maendeleo sio kuhonga, so wanawake nao wajitahidi kutafuta pesa ili nao waheshimike sio kulialia kupiga mizinga vinginevyo mostly girls watakuwa hawaoelewi kwa kuendezeka mizinga, itakuwa wanazalishwa then wanaachwa.

Hakuna mwanaume anayeentertain wapiga mizinga wacha mtu atoe akijisikia sio hadi KE unakuta kanuna kisa hajapewa pesa tena unakuta ana kazi na mshahara kabisa au mradi unaomwingizia kipato sasa unajiuliza hizo hela zake huwa anazipeleka wapi? Unakosa jibu.
wanavopenda kuhongwa na wewe umewatolea povu la kibabe hivi ukiwafata PM kwa nini wasikukimbie
 
Kama hutaki kubadilika unang'ang'ania asili asili tuu,,,unataka kuwa mswati ,,Kwanin usikimbiwe
Nakulia timing wewe chaliake.

Asili nitaipeleka kanjiro boma tukishikana mikono.
 
wanavopenda kuhongwa na wewe umewatolea povu la kibabe hivi ukiwafata PM kwa nini wasikukimbie
Mkuu siwezi wafuata pm cause siwezi wafuata nisiowajua hata hivyo tayar ninae anayejitambua sio mpiga mizinga I hope mambo yakikaa sawa awe wife kabisa. Hawa wa mtaani & mtandaoni ni pasua kichwa
 
Samahani wewe ulieandika ni mwanamke au mwanaume?!

Kama ni mwanamke me sijaona ulazima wa kuandika hivi

We kama una bwana hajakaa sawa wewe ndio wa kumbadilisha, (ila kuna angalizo hapo ukimpimp vzuri mwanaume akameremeta ujiandae lazima atakuwa Marioo wako) atakubwetekeeeeaaa mpaka uisome namba

Wanaume wote wanakuwaga rafu rafu wewe ndio wa kumbadilisha chile! Hata kama atatafuta msaada tutani (side chick) lakini hatokusahau kwasababu ulimwinua toka ngazi moja mpaka nyingine, hata mkiachana bado atakuthamini na mtakuwa marafiki wa kweli.

Sasa Mamaa unataka mechi akaombe kwa nani?! Kama hautaki kupigwa dyu dyu kila siku be creative maam!
Nendeni mazoezi, chezeni game, mpunguzie nyege zake kwenye mambo mengine tofauti na mechi

Above all mtafutie kitu cha kufanya, idle mind is bad always! Akiwa buzy izo mecho utazitaka mwenyewe

We tengeneza boy wako and save the embarassement on social medias

Am just saaaaying!

Girl bye!
 
Kwa maneno mengi hivi kwanini usikimbiwe?
 
Back
Top Bottom