Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Nakubaliana na wewe kuwa ni vita ya kiroho si ya kibinadamu.
Inahusisha binadamu kama wafuasi ndo maana unaonekana kama ni mjadala usiokwisha, ni vita inayopiganwa malangoni
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Mkuu,
Ngoja mtoto wa kiume aanze kuliwa tigo na anakuja kwako anakibanoa sauti na kiuno kama amekatika center bolt ndionutaelewa.
Muda mwingine ukikaa karibu nao tu unasikia harufu ya nya!
 
Inahusisha binadamu kama wafuasi ndo maana unaonekana kama ni mjadala usiokwisha, ni vita inayopiganwa malangoni
Ni mjadala usiokwisha na tunapoteza muda. Tuache kumplicate vitu..tuishi vile maisha yanavyokuja
 
Wacha tu wapumuliane ili ghala la shetani lisikose mavuno.
SHETANI NI KIUMBE ALIYETENGENEZWA NA WAZUNGU ILI NINYI MISUKULE MFANYE KAZI KWA BIDII KWENYE MASHAMBA YA MKOLONI, MLIPE KODI KWA WAKATI, NA MSIFANYE MIGOMO YOYOTE.
 
WAPI NIMESEMA MIMI NI SHOGA? AU UNAWEWESEKA KUHITIMISHA ILI UKIMBIE MJADALA?
Yaani mimi nikimbie mjadala mwepesi kama huu,mimi sijaukimbia ila wewe mwenyewe umeuhitimisha,uwe na siku njema.
msh.PNG
 
USHOGA (homosexuality)ni mapenzi ya jinsia moja kwa watu wa jinsia ya kiume (si lazima kuwe na ngono)

KUFIRANA ni habari nyingine..hata mwanaume na mwanamke wanaweza wakakubaliana hilo

Kwa nini USHOGA una ukakasi?
Ni kwa sababu jamii zetu zilitengenezwa kutokubaliana na huo utamaduni..Tuliaminishwa ni kitu kibaya kukifanya. Jamii zilizotengenezwa kuamini sio tatizo leo tunaziona zinaunga mkono na mahakama zinafanya kazi ya kuwatetea mashoga (nchi za Magharibi)

Watu wengi wanaopinga USHOGA msingi wao ni maandiko ya dini.

Wanaounga mkono msingi wao ni HAKI ZA BINADAMU na uhuru wa kila mtu kufanya anachotaka..

USHOGA ulikuwepo tangu miaka mingi sana iliyopita..Hakuna harakati zozote za kuutokomeza zitafanikiwa.

Njia muhimu kwa jamii zinazokataa huu utamaduni ni kufanya kila njia USITANGAZWE au KUFANYWA HADHARANI

USHOGA hauna madhara.

KUFIRANA kuna madhara.
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
 
HAKUNA MAHALI NILIPOSEMA MIMI NI SHOGA.

MARUWERUWE YAKO TU.
Sasa mbona unakataa eti, kwani kwa mujibu wa imani yako si kitu kibaya,WEWE KUWA SHOGA ,shauri yako uhoni unaenda kinyume na MUNGU MTI WAKO ANAYERUHUSU USHOGA,MUNGU MTI ATAKUPA LAANA.
 
SHETANI NI KIUMBE ALIYETENGENEZWA NA WAZUNGU ILI NINYI MISUKULE MFANYE KAZI KWA BIDII KWENYE MASHAMBA YA MKOLONI, MLIPE KODI KWA WAKATI, NA MSIFANYE MIGOMO YOYOTE.
Kala mtu na imani yake hapa maana hakuna bandiko maalumu la kupigia mstari ulichokiandika ndugu.
 
WEWE HAUJAWA SHOGA KWASABABU MUNGU WAKO HATAKI?
Sasa mbona unakataa eti, kwani kwa mujibu wa imani yako si kitu kibaya,WEWE KUWA SHOGA ,shauri yako uhoni unaenda kinyume na MUNGU MTI WAKO ANAYERUHUSU USHOGA,MUNGU MTI ATAKUPA LAANA.
 
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH..

SHUT UP!
Subiri siku mtoto wako wa kiume afukuliwe mtaro ndio utajua hiyo balaa. Ila sishangai nyakati za mwisho wanaume mtawakiana tamaa!! Hata Kuku au wanyama hawafanyi!! Usenge!! Iweje binadamu. Mkiambiwa mnarusha ngumi. Lugha Kali haikusaidii usenge / ushoga ni dhambi. Uchaguzi ni wako.
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH..

SHUT UP!
Acha lugha Kali rafiki kufukuliwa nyuma dhambi. Kuwa mpole. Ila sishangai maana nyakati za mwisho. Wanaume kuwakiana tamaa. Na ukali wako unaashiria nini? To a hoja sio kufokea watu. Naheshim maamuzi yako ila yana madhara. Pole
 
USHOGA (homosexuality)ni mapenzi ya jinsia moja kwa watu wa jinsia ya kiume (si lazima kuwe na ngono)

KUFIRANA ni habari nyingine..hata mwanaume na mwanamke wanaweza wakakubaliana hilo

Kwa nini USHOGA una ukakasi?
Ni kwa sababu jamii zetu zilitengenezwa kutokubaliana na huo utamaduni..Tuliaminishwa ni kitu kibaya kukifanya. Jamii zilizotengenezwa kuamini sio tatizo leo tunaziona zinaunga mkono na mahakama zinafanya kazi ya kuwatetea mashoga (nchi za Magharibi)

Watu wengi wanaopinga USHOGA msingi wao ni maandiko ya dini.

Wanaounga mkono msingi wao ni HAKI ZA BINADAMU na uhuru wa kila mtu kufanya anachotaka..

USHOGA ulikuwepo tangu miaka mingi sana iliyopita..Hakuna harakati zozote za kuutokomeza zitafanikiwa.

Njia muhimu kwa jamii zinazokataa huu utamaduni ni kufanya kila njia USITANGAZWE au KUFANYWA HADHARANI

USHOGA hauna madhara.

KUFIRANA kuna madhara.
HUMU, HATA WALE WANAOWAFIRA WAKE ZAO WANA UJASIRI WA KULAANI USHOGA!
 
Ni mjadala usiokwisha na tunapoteza muda. Tuache kumplicate vitu..tuishi vile maisha yanavyokuja
It is a challenge kwa watu wanaotaka kuishi katika kusudi la Mungu kuwa kwenye dunia ambayo ibilisi anajenga ufalme wake kwa kuweka mifumo na chapa zake ikiwemo ushoga. Hakuna jinsi hadi Yesu atakaporudi kuweka ufalme wake utakaodumu milele
 
WALE SIMBA DUME WALIOKUWA WANABASHIANA NGORONGORO SIO WANYAMA?

KELELE MINGI TU WEWE, DJ ZERO.
Subiri siku mtoto wako wa kiume afukuliwe mtaro ndio utajua hiyo balaa. Ila sishangai nyakati za mwisho wanaume mtawakiana tamaa!! Hata Kuku au wanyama hawafanyi!! Usenge!! Iweje binadamu. Mkiambiwa mnarusha ngumi. Lugha Kali haikusaidii usenge / ushoga ni dhambi. Uchaguzi ni wako.
Acha lugha Kali rafiki kufukuliwa nyuma dhambi. Kuwa mpole. Ila sishangai maana nyakati za mwisho. Wanaume kuwakiana tamaa. Na ukali wako unaashiria nini? To a hoja sio kufokea watu. Naheshim maamuzi yako ila yana madhara. Pole
 
WALE SIMBA DUME WALIOKUWA WANABASHIANA NGORONGORO SIO WANYAMA?

KELELE MINGI TU WEWE, DJ ZERO.
Yoote Tisa. Kumi ufiraji haufai na DJ tumia nafasi hiyo kuasa watu. We we kuzaliwa sio matokeo ya ushoga, Bali mwanamke na mwanaume. Sex for reproduction zaeni mkaongezeke. Sio starehe tuuuu
 
WEWE HAUJAWA SHOGA KWASABABU MUNGU WAKO HATAKI?
Mimi ni Muafrika naamini katika mila na destruri za Kiafrika,kwa hiyo huwezi kuabadili asili yangu kwani asili haibadiliki (ata kama ukiabudu mungu wa kiislam au wa kikristo).Asili yetu waafrika ni kufanya kazi kwa bidii,kuwa na wanawake,wengi na watoto kwa kifupi mimi ni bonge la shababy najivunia hilo na najivunia kuzaliwa Africa.Ila nashukuru kwa kukubali kwa mara ya pili kwa maneno yako WEWE NI SHOGA,KWA HIYO WEWE SHOGA SABABU MUNGU WAKO MTI ANATAKA WEWE KUWA SHOGA ILA WEWE MWENYEWE HUPENDI USHOGA si unamaanisha hivyo..
 
Back
Top Bottom