Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
Najiuliza ni nini wanataka wafiche?? Kwanini wasiache nchi iupitie na kuuelewa vizuri??
Tunajua hizi nchi hazijuagi biashara ila zinajua kuiba, kuchochea migogoro na kudhulumu au kunyonyaa!
Kwa wasio fahamu mradi wa LNG ni mradi wa gesi iliyogunduliwa Lindi, Mtwara nchini Tanzania .Serikali ya Tanzania ilipanga kufanya na kampuni ya marekani Exxon Mobil
US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu amesema
Walikua wako tayari Kuachilia mbali. (willing to walk away)kulingana na kucheleweshwa.
“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,”
Jicho la kipembuzi kuna nini ?? Kati ya hapo nani alitakiwa awe na haraka??
Najua sababu zinaweza kua nyingi ikiwemo uzembe, urasimu na bureaucracy ….lakini pia nadhani na mkataba utakua una unyonyaji mwingi au una vipengele tatanishi kulingana na historia ya mikataba ya hizi nchi za kibepari na kibaradhuri.
source: