Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,077
Jamani hivi kwanini Ureno ni masikini wakati iko Ulaya na iliitawala Afrika kwa miaka miatano.
WABONGO mnajisahau sana........Portugal sio mwenzetu na hawawezi kufananishwa na uchafu!
Jamani hivi kwanini Ureno ni masikini wakati iko Ulaya na iliitawala Afrika kwa miaka miatano.
Ukahisi kwamba nchi yao ni maskini?Raia wao ndiyo manamba wa Ujerumani, Swiss na Uingereza. Kazi zao nyingi ni kusafisha nyumba na maofisi, kupiga pasi, kuuza migahawa hasa ya kahawa, kutandika vitanda mahotelini nk. Kwa kifupi none skilled labourers
Mombasa ilikuwa sehemu ya Sultan wa ZanzibarMajeshi ya Zanzibar yalikuwa msitari wa mbele katika katika kuwang'oa wareno katika mji wa Mombasa.
Waitaliano walifanikiwa kujinyakulia sehemu ya SomaliaThe Portuguese Empire was unsuccessful of conquering Mogadishu where the powerful naval Portuguese commander called João de Sepúvelda and his army fleets was soundly defeated by the powerful Ajuran navy during the Battle of Benadir.[28]
Huko France catholic imetawala.Wewe unaumwaaaaaa......
Italy ipo G7 na ni nchi ya nne kwa ukubwa wa uchumi bara la Ulaya.
Ya kwanza Germany, UK, France alafu Italy!
Eti Angola nayo ni nchi maskini....angalia orodha ya nchi tajiri hapa Afrika alafu uje tena!
Tupo kwenye raiti traki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko vizuli
Ukatoliki ulienea Ulaya yote hata Urusi na Poland. Ni baada ya Mfalme Henry kuanzisha Church of England na Martin Luther kuanzisha Lutheran lakini Italy, France, Portugal na Spain bado Ukatoliki una nguvu.Huko France catholic imetawala.
Asilimia 80 ya wafaransa ni wakatoliki. 90% ya wabrazil ni wakatoliki.Ukatoliki ulienea Ulaya yote hata Urusi na Poland. Ni baada ya Mfalme Henry kuanzisha Church of England na Martin Luther kuanzisha Lutheran lakini Italy, France, Portugal na Spain bado Ukatoliki una nguvu.
Hiyo ni baada ya miongo mingi,wababe wa ulaya walipokuja tena Afrika ndipo walipowagawanya Wasomali katika makoloni matano British Somaliland French Somaliland (Djibouty)na Italian Somaliland na sehemu nyingine wakampa Negus Menelik wa Ethiopia.kipande kingine Waingereza wakakifanya kiwe ndani Republic of Kenya.Waitaliano walifanikiwa kujinyakulia sehemu ya Somalia
Yaa Ukatoliki Latin America umeshamiri. Kumbuka kule lilikuwa koloni la HispaniaAsilimia 80 ya wafaransa ni wakatoliki. 90% ya wabrazil ni wakatoliki.
OraitiYaa Ukatoliki Latin America umeshamiri. Kumbuka kule lilikuwa koloni la Hispania
Amerika ya kusini yote kasoro Brazil iko chini ya Spaniards.Yaa Ukatoliki Latin America umeshamiri. Kumbuka kule lilikuwa koloni la Hispania