Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kinachoifanya ureno iwe maskini utakipata ukisomaTHE..PROTESTANT ETHIC AND THE SPIRIT OF CALVINISM
 
masikini kwa namna gani yani, fafanua ili kuleta faida na ufahamu zaidi kwa sie tusiojua kitu.
Raia wao ndiyo manamba wa Ujerumani, Swiss na Uingereza. Kazi zao nyingi ni kusafisha nyumba na maofisi, kupiga pasi, kuuza migahawa hasa ya kahawa, kutandika vitanda mahotelini nk. Kwa kifupi none skilled labourers
 
Wabaguzi wa rangi weupe huwa wanajenga hoja ya kuwa Wareno walikuwa na akili sana kabla ya kuzaana na waafrika weusi kutoka katika makoloni yao, kitu ambacho ni chakumdhalilisha mtu mweusi.


That Portugal suffered some dysgenic effect due to allowing substantial Black genes into a White country has long been a trope of the worst of the White nationalists. This story was spread widely around the South during the Civil Rights era to warn of the dangers of breeding with Blacks.

True, Portugal has some problems. Just 28% of the Portuguese population between 25 and 64 has completed high school. The figure is 85% in Germany, 91% in the Czech Republic and 89% in the U.S. The government is just now mandating 12 years of school. As is, you can leave school at grade nine, and many do.

Portugal also has a serious debt crisis. It’s the poorest country in Western Europe, but that’s long been the case. Anyway, one country has to be poorest, right? Everyone can’t win the race.

Much is made of the Portuguese IQ. However, at 94, it seems high enough.

The “nigger genes” argument is particularly ugly, and is one reason that I regard WN’s as revolting human beings. Supposedly, Portugal imported some Black genes centuries ago during colonialism, I would assume particularly from Brazil.

There is a serious problem with this line. Portugal only has about 3% Black genes. It’s true that there is more in the South, where figures can range up to 6-7%. But that is still not very high. Surely allowing the ingress of 3% Black genes into a White population is not enough to destroy the country! That’s ridiculous.

Share this:
 
maskini kwa nchi zingine za europé ,sio kwa afrika , nchi maskini ya europe tofauti na umaskini tuliokuwa nao watu hata viatu hawana au wanakosa kula chakula mara 3 kwa siku
 
Ferdinand Maggelan (Mreno) ndio mtu wa kwanza kuzunguka Dunia katika safari yake ya uvumbuzi wa njia ya kwenda India mwaka 1519-1522.
142084686-AB.jpeg
 
Back
Top Bottom