Kwa Wareno watu weusi wote kwao walikuwa wanajua ni moors tu..hakuna mjadala.Aisee Kwanini ionekane hivyo
Moors ni kama waarabu fulani hiviWareno na Wahispania walitawaliwa na Moors kutoka Afrika.
Ni katika ile vita ya kueneza uislamu maaneo ya ulaya magharibi. Kama sikosei ni kipindi cha Ibn KhaldunView attachment 791112
Wakiwa katika medani ya vita,hawa jamaa walitawala Spain na Portugal kwa Miaka mia saba na ushee kwa vipigo baada ya vipigo..
Ni mchanganyiko wa Waaffrika na Wabaribari wa Afrika ya kaskazini ambao walikuwa wameupokea Uisilamu.Moors ni kama waarabu fulani hivi
wabaribari ukimaanisha berbers ???Ni mchanganyiko wa Waaffrika na Wabaribari wa Afrika ya kaskazini ambao walikuwa wameupokea Uisilamu.
Ndio berbers!wabaribari ukimaanisha berbers ???
Ntajie nchi za G7 mkuuSehemu ambayo Katoliki imetamalaki ni maskini eg. Italy, Mexico, south America yote, Afrika-Mozambique, Angola n.k
Hata mimi naweza kuchoraView attachment 791118
Makamanda wa kimoor katika nchi ya Spain na Ureno.
Wewe hujielewi eti uchumi wa South Africa ni mkubwa kuliko SpainNi ajabu hata uchumi wa south Africa ni mkubwa kuliko wa Spain wale majirani Portugal na Spain wamepewa nguvu wamenyimwa akili ndio maana wana wachezaji wazuri wa kabumbu lakini hawana brain za mainjinia.
Wewe unaumwaaaaaa......Sehemu ambayo Katoliki imetamalaki ni maskini eg. Italy, Mexico, south America yote, Afrika-Mozambique, Angola n.k
Jamani hivi kwanini Ureno ni masikini wakati iko Ulaya na iliitawala Afrika kwa miaka miatano.
GDP haisemi ukweli kuhusu utajiri wa mwananchi mmoja mmoja usidanganyike....hata hapa TZ wakihesabu utajiri wa ma-tycoon then wagawanye kwa idadi ya watu TZ itaonekana ina utajiri kushinda nchi kadhaa ulaya (ya mashariki).Wewe unaumwaaaaaa......
Italy ipo G7 na ni nchi ya nne kwa ukubwa wa uchumi bara la Ulaya.
Ya kwanza Germany, UK, France alafu Italy!
Eti Angola nayo ni nchi maskini....angalia orodha ya nchi tajiri hapa Afrika alafu uje tena!
ITALY IS NOT A POOR COUNTRY WEWE!GDP haisemi ukweli kuhusu utajiri wa mwananchi mmoja mmoja usidanganyike....hata hapa TZ wakihesabu utajiri wa ma-tycoon then wagawanye kwa idadi ya watu TZ itaonekana ina utajiri kushinda nchi kadhaa ulaya (ya mashariki).