Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Zipo kawaida tu hawana cha kututisha...au kwa vile unawaonaga worldcup?
Kwa nini nchi za Africa mashariki nazo haziendi?

Tangu nimezaliwa sjawahi kuona nchi ya afrika mashariki ikishiriki world cup au kushinda kombe la afrika.

Wenzetu waliowahi kukaa ughaibuni pia wanatuambia watu wa mataifa hayo wamechangamka sana wakilinganishwaa na wa huku kwetu.
 
Wareno walitoa kipigo kitakatifu huko india na kutawala india kwa muda mrefu sana wahindi walijaribu kuwaondoa wareno lakini kila mara walikula kipigo.


The celebrated heroics of the tiny Portuguese garrison, led by Duarte Pacheco Pereira, fended off an invading army several hundred times bigger. It proved a humiliating defeat for the Zamorin of Calicut. He not only failed to conquer Cochin, but his inability to crush the tiny opposition undermined the faith of his vassals and allies. The Zamorin lost much of his traditional authority over the Malabar states of India in the aftermath. The preservation of Cochin secured the continued presence of the Portuguese in India.
 
Wareno ndio walioisambaratisha nchi ya kilwa na kuitia kiberiti.
 
asco da Gama was the first known European to visit Mombasa, receiving a chilly reception in 1498. Two years later, the town was sacked by the Portuguese. In 1502, the sultanate became independent from Kilwa Kisiwani and was renamed as Mvita (in Swahili) or Manbasa (Arabic). Portugal attacked the city again in 1528. In 1585 a joint military expedition between the Somalis of Ajuran Empire and the Turks of Ottoman Empire led by Emir 'Ali Bey successfully liberated Mombasa and other coastal cities in Southeast Africa from the Portuguese colonizers
 
Wareno walitembeza kichapo huko Msumbiji Sofala na kuitawala nchi hiyo kwa miaka mia tano hadi Frelimo na msaada wetu na waafrika wenzetu ndio ukaja kuwatoa.

Kumbuka wareno hawakuwa na nia ya kuyapa uhuru makoloni yao.
 
Baada ya wareno kuondolewa, Kilwa ilikuja kuvamiwa na "Jeshi la Walawatu* ambalo inasemekana ni kabila linaloiitwa "Zimba" ambalo inasekana lilitokea Afrika ya kati au Kongo ya leo.
 
Ni ajabu hata uchumi wa south Africa ni mkubwa kuliko wa Spain wale majirani Portugal na Spain wamepewa nguvu wamenyimwa akili ndio maana wana wachezaji wazuri wa kabumbu lakini hawana brain za mainjinia.
Muongo wewe hakuna kitu kama hicho. Bill gates na jamaa wa amazon ni tajiri hata kuliko southafrica.

Kuna kabenki spain imeikopesha serikali ya uturuki euro 90 billion kuboost uchumi wake.

Hizi viporo vya kande iliyochacha mnayobugia na kushindilia na kuvimbiwa mitumbo na kujipumzisha chini ya mwarobaini inawafanya muwe na serious mental shakeup

Kamooon
 
Hii mpya sasa
tigermoor.jpg

Mmoja wa viongozi wa moors akiwa mbele ya msikiti huko Alhambra Spain.
 
Back
Top Bottom