imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
hawa jamaa kipindi icho walikuwa na maisha ya kuzurura(vagabond) badala ya kujenga nyumbani.Walikuwa wanaamini kuna mji wa kusadikika uliojaa dhahabu (El dorado) kwa hiyo wakatumia muda na nguvu nyingi kuutafuta bila mafanikio.walipenda vya buree (kwa sauti ya jiwe)
Waliokuwa wanatafuta El dorado ni Spaniards.