imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Nadhani ni kwasababu eneo wanaloishi ni mllango wa bahari kwa hio uvamizi wa mara kwa mara umewafanya wakomae kwenye battles.Duh, kumbe wasomali sio wa mchezo mchezo
Nadhani ni kwasababu eneo wanaloishi ni mllango wa bahari kwa hio uvamizi wa mara kwa mara umewafanya wakomae kwenye battles.Duh, kumbe wasomali sio wa mchezo mchezo
Nadhani ni kwasababu eneo wanaloishi ni mllango wa bahari kwa hio uvamizi wa mara kwa mara umewafanya wakomae kwenye battles.
View attachment 791368
Mashujaa wa kisomali wakiwa na jasusi Richard Burton ambaye hatimae walimtia mkuki wa mdomoni.