Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Pizarro-and-his-followers-in-Lima.jpg

Pizzaro na conquistadors wenzake wakitia timu Cuzco makao makuu ya himaya kubwa sana ya Inca,kumbuka walikuwa askari 200 tu wakati hapo kuna jeshi la askari 5900 lakini cha ajabu walitumia fitna na ujanja wa kisaikolojia na kuimaliza himaya hiyo kubwa.
 
watu wakisema Ureno ni masikini wana compare na watu kama USA, UK, France etc ila compare na sisi wala sio wenzetu wale.

hizi ni data za pato la mtu mmoja mmoja toka benki ya dunia
-GDP per capita ya Tanzania dola 879
-GDP per capita ya Ureno ni dola 19,813

hivyo unaona utajiri wa mtu mmoja mmoja ni zaidi ya mara 20 ya Tanzania, gape ni kubwa sana. Tuangalie nchi tajiri za kiAfrica.

-south Africa ni dola 5273
-Egpty ni dola 3514
-Nigeria ni 2178

hivyo hata nchi tajiri za ki Africa hazina hata nusu ya uwezo wa kifedha wa mtu mmoja mmoja wa ureno.

tuangalie Nchi tajiri za ulaya
-Uk gdp per capita ni 39,900 usd
-Norway ni 70,812 usd
-france ni 36,854 usd
-italy ni 30,527 usd

hivyo ukiangalia mabwa wakubwa wengine utaona portugal ni masikini compare na nchi kubwa za ulaya.
Mkuu Salute
 
Sehemu ambayo Katoliki imetamalaki ni maskini eg. Italy, Mexico, south America yote, Afrika-Mozambique, Angola n.k
Huu nao niupupu kama upupu mwingine nchi zilizoendelea hao ulowataja ndo wamewekeza kila sehem ikiwamo usa, kwaio walokole ndo wanaendeleza nchi
 
Miaka gan hio inamana wakati wareno wakija afrika nakwingineko kwao hawakufunga milango
Mkuu wareno walihamia sana kwenye makoloni yao na walifanya sana biashara na utajiri wao ulikuwa ni mkubwa sana.

Huko nyumbani Ureno walibakia watu tena wengi
Tatizo lilkuwa moja wanawake wao hawakupenda kkuhamia kwenye makoloni yao kwasababu ya maradhi ya mbalimbali kwenye makoloni na pia uoga

Matokeo yake wareno wakaanza kuoa wenyeji na watumwa.
 
Huu nao niupupu kama upupu mwingine nchi zilizoendelea hao ulowataja ndo wamewekeza kila sehem ikiwamo usa, kwaio walokole ndo wanaendeleza nchi
Wavaa kobazi na wavimba macho toka Uchi-na ndo wawekezaji wakubwa dunian
 
Ugunduzi wa Sukari uliwapa wareno utajiri mkubwa sana makoloni yao hasa Brazil lilifanywa shamba kubwa la miwa huku ndugu zetu waafrika wa Angola wakisombwa kwenda kutumikishwa katika mashamba ya miwa.
 
Lapu_lapu.jpg

Mtemi Lapu lapu wa Ufilipino ndio aliyetoa kipigo na kumuua baharia wa kireno Ferdinand Magellan huko Ufilipino.
 
Mapambano kati ya Magellan na kikosi kilichoongizwa na mtemi Lapu lapu ambayo yalipelekea kifo cha baharia huyo ambaye ameweka historia ya kuwa mtu wa kwanza kuizunguka dunia.
B205803-1.jpg
 
Atahualpa_10.jpg

Mfalme Atahualpa Atabalipa wa himaya ya INCA.
mfalme huyu ndie alikuwa mfalme wa mwisho wa Inca na himaya yao ikaporomokea hapo.
 

Attachments

  • downloadfile-3.jpg
    downloadfile-3.jpg
    231.4 KB · Views: 37
Kitendo cha Lapu lapu kumuua Magellan kiliwafanya wareno watwae kisiwa hicho.
 
Inasemekana Lapu Lapu alikuwa ameukubali uisilamu lakini pia alikuwa anachanganya na dini za kienyeji.
 
Back
Top Bottom