ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,165
- 40,532
- Thread starter
-
- #401
Kwanini umechukulia serious sana tatizo nini mimi kuuliza hivyo ?Kwa nini unauliza "kwa nini upo single?"
Huna uwezo wa kufikiria mada nyingine?
Unatafuta danga?
Unaongozwa na hoja za mahusiano kuliko kitu kingine?
Huna interest ya kujua mada tofauti?
Wewe ni mmbea?
Unapenda kufuatilia maisha ya watu?
Kwa nini unauliza "kwa nini upo single?"
Huna uwezo wa kufikiria mada nyingine?
Unatafuta danga?
Unaongozwa na hoja za mahusiano kuliko kitu kingine?
Huna interest ya kujua mada tofauti?
Wewe ni mmbea?
Unapenda kufuatilia maisha ya watu?
Kwa nini umenichukulia serious kwamba mimi nimekuchukulia serious?Hello guys π name Shesriseπ«°
Watu wengi tunasema chuki, lakini je, tunajua hasa ni nini?
Je, chuki inazaliwa ndani ya mtu au inajengwa kutokana na mazingira, maumivu, na uzoefu wa maisha?
Wengine wanasema chuki huanzia kwenye majeraha ya moyo, wengine wanaona ni wivu, hasira au kukosa msamaha.
Lakini swali linabaki: chuki inatoka wapi hasa?
Nini kinasababisha mtu msiefahamiana kwa undani au hata kukujua vizuri, hakujui na kisha anakujengea chuki?
Imewahi kukutokea mtu akakuchukia na hata ukagundua? Ulichukuliaje?
Chanzo cha chuki ni nini hasa?
Karibuni tujadili, kila mtu kwa mtazamo...
- ShesRise_1
- Replies: 120
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Huo ni mfano mdogo tu wa mada zangu nyingi hapa jukwaani
MkuuππKwa nini umenichukulia serious kwamba mimi nimekuchukulia serious?
Singo ila sio kiviiiileee....Watu mnatoa wapi manenoπ π
Ni mwezi wa saba toka uwe single au
Na kamwe siwezi kushikwaHujashikwa vizuri wewe
Nisivyopenda usumbufu nasikia raha sana kulala peke yangu nagalagala mpk nadondoka kitandani..!! πΉπΉπΉPunguza kipaji cha kujiamulia mambo binti uache kulala kama pangaπ€£π€£π€£
Single kwa mbali πSingo ila sio kiviiiileee....
Siku kila kitu kitakua sawaMimi binafsi ni Uchumi mdogo tu ndio unanizuia kuingia kwwnye mahusiano
Shenziii wewe πNisivyopenda usumbufu nasikia raha sana kulala peke yangu nagalagala mpk nadondoka kitandani..!! πΉπΉπΉ
SawaaNa kamwe siwezi kushikwa
ShesRise_1 napenda kukuomba radhi kwa dhati.Mkuuππ
Brother π« β₯οΈβ₯οΈβ₯οΈShesRise_1 napenda kukuomba radhi kwa dhati.
Awali hapo juu kuanzia #400 nilighafilika na kukuvamia sana kwa post kwenye uzi wako huu "Kwa nini upo single?", nilipost kitu ambacho mimi niliiona kama cha mzaha, mzaha ambao nilipoufikiria zaidi nikajiona nimevuka mipaka ya utani hususan kwa sababu hatuna mazoea ya utani kihivyo.
Nimekuwa nikiwasema watu mara nyingi kwa kufanya mzaha na matani bila ya kuwa na mazoea hayo, hapa nilikosea kwa kufanya kama watu wengi niliowasema.
Nimefanya kile ambacho huwa nakikemea mara nyingi.
Kama kaka mkubwa wa JF ninayetakiwa kuwa mtu wa mfano hapa naona nimepelea viwango fulani ambavyo mimi mwenyewe navisisitiza kwa wengine na sioni vibaya kujirekebisha na kuomba radhi, pia kutoa mfano wa kujirudi tunapokosea.
Natumaini utanielewa na naomba unisamehe. Nilifanya utani kwa kughafilika bila kufikiri kwa kina utajisikiaje.
Nakuomba radhi.
Kiranga.
Kila la kheri na iwe kama unavyotamaniBado namfukuzia Abby Chams mtoto wa kishua.
Mkuu acha basi ππNiko single nasubiri unitoe kwenye huu Usingle @ShesRise_ππ
Utaki ππMkuu acha basi ππ
Sitakiiiiii mie bado nipo schoolUtaki ππ