Kwanini upo single?

Biashara matangazo haya fursa fursa fursa hizooooooo
 
Niko single kwa kua bado sijampata msichana sahihi mwenye mapenzi ya dhati
 
Mlio single bila kupenda poleni sana...

Hope mta find love soon,nawaombea iwe hivyo....
 
Ha ha ha ha!
 
Dah! mimi niko singo kwa sababu ambazo sizijui ..yani sijui ni kwanini niko singo.
 
Nipo single kwa sababu nilimtongoza kidogo lakini jamaa alimtongoza mpaka alitumia mifuko yake ya suruali na ATM ndipo nikatoswa
 
fulsa ndo hii sasa yakuchagua unae umpendae hapa kwasababu umeshajua watafutao wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…