Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Asprin hahaha nimecheka mpaka naonekana mwehu wallah! Kuna ile post yako nyingine kule ya kuogopa maiti leo mbavu zitaniuma
Kiongozi usifanye mchezo na maiti. Tukiwa shule mwanafunzi mwenzetu alipata ajali ikasemekana amekufa. Ibilisi akamwingia headmaster akaniteua niende kuitambua maiti....
Ile natoka ofisini mwake tu.... hatua chache kabla sijapanda gari... niliteguka mguu nikaanguka chini.... Nikajiapiza kitakachoweza kuninyanyua pale chini ni greda la manispaa ya Kinondoni.
Walipoenda wengine hospitali ghafla mguu ukapona. Ashukuriwe Mungu aliye juu.
Last edited by a moderator: