Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Kama ukijiaminisha kifo kipo na kila mtu atakufa hutaogopa. Maiti.inakuwa imefumba macho kama mtu aliyelala. Sasa unaogopa nini? Je.ukikutana na wale ambao bahati mbaya hawakufumbwa macho wakati wanakata roho? Tukikubali maiti.ni remains za so and so wala hatutaogopa. Sana sana tutasikitika kuwa mpendwa wetu hatunaye tena.
 
No comment ,am a doctor,I even dissected them during my medical studies.
 
Siogopi maiti coz nilishaduu na maiti ambae ni kabint ka jirani kalidanja jioni ileile nukazama ndani nikamchomeka maana alikuwa mzuri sana.
Dah! Asikwambie mtu maiti alivyo mtam.
 
yani mie siyo maiti tuu bali hadi Giza nilikuwa naogopa,tulipataga misiba mfurulizo,sikuwa nalala home tena nahama kabisa na nyumba.sasa nikajafiwa na Baba yangu alizidiwa gafla, yaani anakata roho namuona.woga wote uliniishia hapo na toka siku hiyo nalala peke yangu hata kama nyumba nzima nipo mwenyewe,siogopi giza hata Tanesco wakate umeme mwaka mzima.
mie nahisi ni woga tu na imani ya mtu inavyo mtuma.
 
Daah aisee inaelekea huna akili nzuri.
 
Siogopi maiti coz nilishaduu na maiti ambae ni kabint ka jirani kalidanja jioni ileile nukazama ndani nikamchomeka maana alikuwa mzuri sana.
Dah! Asikwambie mtu maiti alivyo mtam.

hongera sana mkuu!!hivyo ndivyo inavyotakiwa watu wafanye
 
Mimi siogopi ila sipendi sana kwani najiuliza naangalia ili iweje. Kama mtu nilikuwa namjua napenda nimkumbuke kwa mambo yake akiwa hai bila kuongeza na mwili wake usio na uhai.
Lakini kama nilikuwa namuneshimu sana lazima nitoe heshima kwa mwili wake
Kama sio mtu close kwangu huwa siendi kumuangalia kwani sioni sababu ya kuongeza foleni huwa nawaombea tu wafiwa wapate nguvu na matumaini.
 
  • Thanks
Reactions: G3T
yani mie siyo maiti tuu bali hadi Giza nilikuwa naogopa,tulipataga misiba mfurulizo,sikuwa nalala home tena nahama kabisa na nyumba.sasa nikajafiwa na Baba yangu alizidiwa gafla, yaani anakata roho namuona.woga wote uliniishia hapo na toka siku hiyo nalala peke yangu hata kama nyumba nzima nipo mwenyewe,siogopi giza hata Tanesco wakate umeme mwaka mzima.
mie nahisi ni woga tu na imani ya mtu inavyo mtuma.

Ndio maana una presha???
 
Kweli ulivyosema, ukifiwa na mtu wa karibu huwezi kuogopa maiti yoyote
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Poleni kwa wenye tatizo hili. Tatizo hili KISAIKOLOJIA hujulikana kama NECROPHOBIA ambalo huwakumba watu wengi na hivyo kuwa na tatizo LA kuogopa kuona au kuangalia MTU au kitu kilichokufa mfano binadam mwenzao. Watu huchukulia kama kitu cha kawaida lakin kisaikolojia ni tatizo km nilivyoeleza kwa ufupi. ni tatizo LA kisaikolojia kama yalivyo mengine kama vile SOCIAL PHOBIA ( kuogopa umati wa watu wengi, mfano wengine wakiambiwa waongee mbele ya watu wengi wanaweza hata kujinyea). kwa maelezo zaid usisite kuuliza.
 
Ni utoto hiyo hali itafikia kipindi utaiona ya kawaida hata mie nilikuwa kama wewe lakini kadiri nilivyokuwa nakabiliana na haya mambo nilishaona ya kawaida tu.nakumbuka zamani nilikuwa hata nikiona majeneza yanauzwa naweza kubadilisha njia
 
Poleni kwa wenye tatizo hili. Tatizo hili KISAIKOLOJIA hujulikana kama NECROPHOBIA ambalo huwakumba watu wengi na hivyo kuwa na tatizo LA kuogopa kuona au kuangalia MTU au kitu kilichokufa mfano binadam mwenzao. Watu huchukulia kama kitu cha kawaida lakin kisaikolojia ni tatizo km nilivyoeleza kwa ufupi. ni tatizo LA kisaikolojia kama yalivyo mengine kama vile SOCIAL PHOBIA ( kuogopa umati wa watu wengi, mfano wengine wakiambiwa waongee mbele ya watu wengi wanaweza hata kujinyea). kwa maelezo zaid usisite kuuliza.

dawa yake ni nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom