Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Udukuzi ndio ulikuponza. Wewe umetumwa ukafunge mlango unaenda kufungua jeneza. Si ajabu marehemu alifungua macho kukuangalia ukapoteza fahamu.Daaah sitaki ata kusikia habari za maiti... hapa nyumbani kwetu alifariki anti yetu,ule mwili wa marehem anti ukawekwa chumbani kwangu kitandani daaah nilitumwa na mama niende nikafunge chumba sasa wakati wa kufunga mlango nikasema ngoja nikafungue jeneza nione daaah nilijikuta niko chini ya mti nimemwagiwa maji napepewa..na tangu siku hyo nilikuwa naweweseka sana bt nilivyokuja kuombewa ile hali ikatulia. mpka leo sina hamu ya kuaga maiti wala kuiona naogopa sana