Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Kiongozi.... whatever... kwangu mimi maiti ni maiti. Ushirikiano acha tuurudishie huko akhera. Hapa duniani weka mbali mimi na maiti. Baaas

Siku moja usiku tukiwa chuoni tulitoroka tu kaenda kununua kuku wale wa kubanikwa kwenye mashine tukarudi chuoni ili tujipendelee! Ile kuingia ndani tu ikapigwa kengele ya dharura kufika parade tukaambiwa kuna maiti tano za ajali ya moto inabidi tukaziweke sawa, amini usiamini nilienda na kuku wangu na baada ya kumaliza ile dharura nikaendelea kujinafasi
 
You need Jesus....
 
Khaa hii thread imenifutia st Anne zangu kichwani waiii
 
Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.

Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.

Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.

Kwa nini hamkuita majirani
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini hamkuita majirani

Huyu bulaza hakutaka kusumbua watu eti... imani yake anasema angeamsha watu wangelazimisha kitu kiende mochware wakati yeye alitaka kukipiga chini bila gharama kubwa. Wakati imani kwa imani yake hakutaka kitu kikae zaidi ya saa saba kabla hakijawekewa tani saba za dongo..
 
Tangu nimepata msiba wa mtu wangu wa karibu,nahisi nimekuwa shujaa. Siogopi tena ht nilitaka siku ya mazishi asizikwe ili angalau niendelee kumuona.
 
Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.

Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.

Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.

barcelona tuko vizuri nafikiri jana uliona ukweli. Labda awasaidie juv
 
Last edited by a moderator:
Jana nilienda msibani.. Japo sikuangalia maiti ila sijalala leo aisee.. Picha yake ilikua yanijia.. Pale makaburini alipozikwa duh.. Ulikua usiku mgumu kwangu
 
Leo usipopata usingizi, njoo Mbezi nitakupa dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom