Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

Daaah sitaki ata kusikia habari za maiti... hapa nyumbani kwetu alifariki anti yetu,ule mwili wa marehem anti ukawekwa chumbani kwangu kitandani daaah nilitumwa na mama niende nikafunge chumba sasa wakati wa kufunga mlango nikasema ngoja nikafungue jeneza nione daaah nilijikuta niko chini ya mti nimemwagiwa maji napepewa..na tangu siku hyo nilikuwa naweweseka sana bt nilivyokuja kuombewa ile hali ikatulia. mpka leo sina hamu ya kuaga maiti wala kuiona naogopa sana

Aisee mecheka mpaka chozi limetoka. Khaa...

Bro alifiwa na swahiba wake geto. akanipigia simu niende nikampe kampani. Ikawa ni biashara ya kulala na maiti mpk asubuhi.... Niliomba udhuru kidogo nikatafute kampani na ujasiri wa Konyagi. Nikazimeza kama maji. Kurudi geto pombe ikakata, braza ndo kwanza anakoroma, maiti iko kitandani. Nikaenda kuongeza tena nyagi.... kurudi geto ikakata.... dah

Msala ilipofika saa 10 alfajiri, mitambo ikabuma TBL huko na braza ndo mtaalam. Gari ikaja kumchukua akaokoe jahazi. Akanisihi nibaki pale na maiti aende job fasta.... eti maiti hairuhusiwi kulala peke yake. Siku hiyo iliruhusiwa!!!

Yeye kaenda TBL mimi nikaenda bar maiti ikabaki room.

Kulipokucha ndipo nikajua nilikuwa nimelewa mbaya. hata sijui walizika saa ngapi.

Sina urafiki na maiti. Maiti zinisamehe tu.
 
Umenicha hoi sana mkuu
 
Siogopi maiti coz nilishaduu na maiti ambae ni kabint ka jirani kalidanja jioni ileile nukazama ndani nikamchomeka maana alikuwa mzuri sana.
Dah! Asikwambie mtu maiti alivyo mtam.

Daah inaelekea ulikuwa umekunywa viroba sana
 
Aisee mecheka mpaka chozi limetoka. Khaa...

Bro alifiwa na swahiba wake geto. akanipigia simu niende nikampe kampani. Ikawa ni biashara ya kulala na maiti mpk asubuhi.... Niliomba udhuru kidogo nikatafute kampani na ujasiri wa Konyagi. Nikazimeza kama maji. Kurudi geto pombe ikakata, braza ndo kwanza anakoroma, maiti iko kitandani. Nikaenda kuongeza tena nyagi.... kurudi geto ikakata.... dah

Msala ilipofika saa 10 alfajiri, mitambo ikabuma TBL huko na braza ndo mtaalam. Gari ikaja kumchukua akaokoe jahazi. Akanisihi nibaki pale na maiti aende job fasta.... eti maiti hairuhusiwi kulala peke yake. Siku hiyo iliruhusiwa!!!

Yeye kaenda TBL mimi nikaenda bar maiti ikabaki room.

Kulipokucha ndipo nikajua nilikuwa nimelewa mbaya. hata sijui walizika saa ngapi.

Sina urafiki na maiti. Maiti zinisamehe tu.

Hahahahaaaaaaa hahahahaaaaaaa
 
Hahahahaha nimecheka balaa.
 
Duuuh, hii kali.
 
Daa! Nimecheka mpaka basi we jamaa ni hatari
 
Binafsi nilillkuwa naogopa sana zamani siku hizi angalau kidogo maana Baba yangu mzazi alinifundisha na kunizoesha kwenda kushiriki misiba tangu utoto wangu,alinifundisha hivyo ili kuweza kuishi vizuri na jamii na pia hata km mimi siku nikifiwa nisione km kitu cha ajabu.
 
Daa! Nimecheka mpaka basi we jamaa ni hatari

Mimi si hatark jamaa yangu. Hatari ni maiti. Yani ngoma ikikuwa imelazwa chali imefunikwa na shuka. Afu taa inazimwa unawashwa mshumaa.... maiti sijui zinaogopa umeme??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mimi si hatark jamaa yangu. Hatari ni maiti. Yani ngoma ikikuwa imelazwa chali imefunikwa na shuka. Afu taa inazimwa unawashwa mshumaa.... maiti sijui zinaogopa umeme??

Hahahaahaha! Mkuu inatosha daa
 
Hahahaahaha! Mkuu inatosha daa

Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.

Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.

Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.
 
Last edited by a moderator:
Aisee mecheka mpaka chozi limetoka. Khaa...

Bro alifiwa na swahiba wake geto. akanipigia simu niende nikampe kampani. Ikawa ni biashara ya kulala na maiti mpk asubuhi.... Niliomba udhuru kidogo nikatafute kampani na ujasiri wa Konyagi. Nikazimeza kama maji. Kurudi geto pombe ikakata, braza ndo kwanza anakoroma, maiti iko kitandani. Nikaenda kuongeza tena nyagi.... kurudi geto ikakata.... dah

Msala ilipofika saa 10 alfajiri, mitambo ikabuma TBL huko na braza ndo mtaalam. Gari ikaja kumchukua akaokoe jahazi. Akanisihi nibaki pale na maiti aende job fasta.... eti maiti hairuhusiwi kulala peke yake. Siku hiyo iliruhusiwa!!!

Yeye kaenda TBL mimi nikaenda bar maiti ikabaki room.

Kulipokucha ndipo nikajua nilikuwa nimelewa mbaya. hata sijui walizika saa ngapi.

Sina urafiki na maiti. Maiti zinisamehe tu.

Daaah yaani we ndo umeniua kabisa mbavu zangu mpaka jamaa nilioko nao karibu wanahisi tayari castle zimeshanizimisha
 
Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.

Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.

Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.
Asprin hahaha nimecheka mpaka naonekana mwehu wallah! Kuna ile post yako nyingine kule ya kuogopa maiti leo mbavu zitaniuma
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom