Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,603
Ipi ni sababu inayokufanya ulale sasa hivi?
- Unalala kwa sababu giza limeingia, au
- Unalala kwa sababu ya uchovu, au
- Unalala kwa sababu huna pa kwenda, au
- Unalala kwa sababu huna wa kukesha naye, au
- Unalala kwa sababu umelazimishwa, au
- Unalala kwa sababu huwezi kwenda viwanja, au
- Unalala kwa sababu ya njaa?