Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
hhahhaaa haahaa haaa aaaaa...DOGO ....atakuwa sawa na yule aliyepaka mafuta kichani wakati yuko darasani ...mwalimu akamuuliza kwa nini ...akajibu..nilisikia mama akimwambia baba kipake hicho kichwa mafuta ndo itaingia vizuri :wave:
hahaha dogo kaingia upepo
Hahahahaaaa Dogo umeuaaaa