mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
- Thread starter
- #461
Hahahaha uje mwenyewe sasa Coca[emoji38]Manzese?? Usijar ntakuibukia kesho.
Hahahaha uje mwenyewe sasa Coca[emoji38]Manzese?? Usijar ntakuibukia kesho.
Nakujaa mie ndyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha uje mwenyewe sasa Coca[emoji38]
Mjanja mjanja sana wewe... najua hutokuja wewe[emoji23] kwanza kesho nipo busy[emoji38][emoji38][emoji28]Nakujaa mie ndyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi tu ikiwemo mimi[emoji38]
Nipe locs, nikuibukie hayo maskani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona amadi unaanza uvuvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo TipTop tule bia mchuchu
[emoji23][emoji23][emoji23] aje bhanaTip top kwa wahuni usimchuze udugu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] aje bhana
Sasa Lambo kuna wahuni gani jamani Cuti wife?[emoji23] njoo na wewe muwe wawili basiHakuna huko kwa wahuni udugu wangu hawez kashikashi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Lambo kuna wahuni gani jamani Cuti wife?[emoji23] njoo na wewe muwe wawili basi
Hataaa... njoo umuone na Mpwayungu[emoji38]Lambo sio ndugu yake na Jambo gin kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hataaa... njoo umuone na Mpwayungu[emoji38]
Hizo nywele kwa avatar ni zako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wa maticha
Au wigi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wa maticha
Acha uvuvi haramu 🤣🤣🤣Hizo nywele kwa avatar ni zako?
Na kwako pia bestAcha uvuvi haramu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kesho nalala mtu wangu, uwe na usiku mzuri
Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na shida na dhambi?Ulimwengu Ulitakiwa Uwe Na Shida Na Dhambi Na Ndo Maana Ukaumbwa hivo,Ukiwa Hauna Hivo vitu Huo sio Ulimwengu
Yote Hayo Ni Kipimo Nani Ni Mbora Mbele Ya Mwenyezimungu,Hata Mwalimu shuleni Hutoa Mitihani Ili Kuona Ni Nan Mbora kati ya wanafunzi.
Kwani Hapendi Kuona Mnafaulu Awapitishe wote?
Uwepo wa Mungu Ni Kipimo cha wenye Akili ila waliokengeuka na dunia Hawawezi Ona Hilo.
Kila kitu Kina mwanzo Wake,Je Ni Upi Mwanzo wa Wanadamu,Dunia na Tusivovijua Kwa Undani?