Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Heri ya Jumapili kwa nyote.

Niende madani sasa.

Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?

Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?

Karibu!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Niliacha pale mchungaji wa kanisa letu kanisa maarufu tu alipo fumwa na mke wa mzee wake wa kanisa ndani ya ofisi ya kanisa wakilana uroda saa 3 usiku, nikaacha nakusali hapo hapo tangu 2008 hadi sasa
 
UKisoma comments humu utajua tuna kizazi aina gani
Na hili ndio taifa la kesho
Na ndio wazazi walezi wa watoto
No wonder utovu wa nidhamu na maovu yamekua kwa kasi sana.
Mashoga wanaongezeka na kujitangaza waziwazi
Watu hawaoni aibu kutangaza tabia zao ovu 🙌🏾😂
Mungu uturehemu na kutusaidia
 
UKisoma comments humu utajua tuna kizazi aina gani
Na hili ndio taifa la kesho
Na ndio wazazi walezi wa watoto
No wonder utovu wa nidhamu na maovu yamekua kwa kasi sana.
Mashoga wanaongezeka na kujitangaza waziwazi
Watu hawaoni aibu kutangaza tabia zao ovu
Mungu uturehemu na kutusaidia
Sasa watu kusema ukweli wao ni vibaya? Toto lako kuwa shoga ni ujinga wake na si wa wewe mzazi. Kwani halina akili? Kwani lina miaka 4? Si lina 18+ huko?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Sasa watu kusema ukweli wao ni vibaya? Toto lako kuwa shoga ni ujinga wake na si wa wewe mzazi. Kwani halina akili? Kwani lina miaka 4? Si lina 18+ huko?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Endeleeni kusema ukweli kusifiana na kuchekelea ujinga mkijificha kwa ID hizi
Ila Nyoka hazai kondoo
Tafakari tabia zako halafu ndio vyakurithi vinazidi 😃😃😃
Kizazi cha Hovyo sana ninyi
 
Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Uliwezaje kugundua?

Ulitumia nini kugundua?

Nini kilikuongoza kugundua?

Which aspects did you use to come to the conclusion that source of evil is result of absence of LORD?

Ulitumia methodologies gani kugundua? njia zipi za kitaalamu? Na uliweza kuprove VP jambo hili?
 
Heri ya Jumapili kwa nyote.

Niende madani sasa.

Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?

Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?

Karibu!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Zaka, sadaka, shukrani, michango, harambee ya kuchangia gari la mchungaji. Nk!
Mbaya zaidi wachungaji na mapadre tunashare nao mbususu za kina mwajuma huku UDOM na CBE
 
Endeleeni kusema ukweli kusifiana na kuchekelea ujinga mkijificha kwa ID hizi
Ila Nyoka hazai kondoo
Tafakari tabia zako halafu ndio vyakurithi vinazidi
Kizazi cha Hovyo sana ninyi
Kwani mtu kuacha kwenda kanisani ni tabia chafu? Unaelewa maana ya kanisa? Wangapi wanakwenda kanisani na ni wazinifu? Huna hoja

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom