Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

Wasalaam,

Nahitaji kujua kwanini Ukraine haishambulii moja kwa moja kwa makombora yake na kupiga maeneo mbalimbali ya Russia!

Asanteni.
We Unafkiri Zelensk anaweza kukalia hicho kiti.
Iron-Chair.jpg
 
Nato hawajali 'watu wengi sana wasio na hatia'. Wanachoogopa ni wao wenyewe kufikiwa na vita tena vya nyuklia.

Wangekuwa wanajali sana raia wasohatia wangewekeza nguvu nyingi kwenye kusuluhisha huu mgogoro kidiplomasia na sio kijeshi kwa kumpump Ukraine na silaha nyepesi ambazo zinafanya vita iendelee japo kwa muda kidogo ila kwa uhakika mwishoe ukraine atapoteza. Km primary concern yao ni innocent people basi primary solution ilitakiwa iwe diplomacy. There's no way utapromote vita alafu iwe unajali raia wasio na hatia, you just can't have it both ways.

Na Kama kweli wanataka Ukraine ashinde uvamizi wa Russia basi wampe silaha za nguvu kweli wampe makombora ya masafa marefu eg. Tomhawk, wampe mifumo ya ulinzi wa anga ya kisasa eg. Patriot/thaad, wampe ndegevita kama f22 raptors au f35 stealth, wampe drones, wampe black hawks, wampe melivita, manowari, strategic bombers, wampe kila aina ya silaha zitazoweza kujilinda dhidi ya urusi ikibidi waingize na majeshi yao.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ulivyotaja vyote hakuna mwanajeshi wa Ukraine amewahi vitumia na vipo complicated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slobodan milosevich.
Sidhani Kama Putin anaweza kufikia huko . Coz Russia sio drc.
Usijiaminishe kwamba hawezi kufika huko kwani hafiki huko kwa mapenzi yake lakini mazingira yanaweza yakamlazimisha akafika huko.

Ukishatangazwa kama "Pariah State" kuna mengi ambayo yanakuwa nje ya uwezo wako ku-control.
 
Usijiaminishe kwamba hawezi kufika huko kwani hafiki huko kwa mapenzi yake lakini mazingira yanaweza yakamlazimisha akafika huko.

Ukishatangazwa kama "Pariah State" kuna mengi ambayo yanakuwa nje ya uwezo wako ku-control.
Narudia Russia sio drc.
 
Mawazo ya Kijiwe,
"Atake asitake tutamuongeza muda"
Ujinga mtupu.
Nadhani uja muelewa ali maanisha serikali ya sasa ya Ukraine na si ya Urusi.

Suala sio kuongoza muda mrefu suala ni je unatatua matatizo ya wananchi wako?

Putin kaitoa Urusi kwenye hali mbaya sana mpaka sasa angalau imepata nguvu ya kujitutumua,baada ya kuanguka Usoviet Urusi ilikuwa haina uwezo hata wa kulipa wafanya kazi wake mshahara maana ilipoteza zaidi aslimia 45 ya uchumi wake kwa hiyo Putin ni muhimu sana kwa Urusi.

Maana ss hapa tuna badilisha viongozi kila kukicha lakini hakuna cha maana kilicho badilika.
Hata ukifuatilia Ujerumani makansela wake huwa wanadumu sana madarakani.
 
Kuna sehemu ya maelezo yako unachukua propoganda za Putin ambazo siyo kweli.

Ukraine haikuwauwa watu wanoongea kirusi bali hizo ni propoaganda za Putin tu.

Mgogoro wa Ukraine ulianza mwaka 2013 wakati rais wa Ukraine wakati huo Viktor Yanukovych alipokataa kusaini makubaliano yaliyokuwa yamepitishwa na Bunge la Ukraine kuingia kwenye European Union akiwa anafuata maelekezo ya Putin.

Wananchi wa Ukraine waliandamana mfululizo mitaani na kwa karibu miezi minne nchi ikawa haitawaliki, ikabidi bwana Yanukovych akimbie nchi na kukimbilia Urusi ambako ndiko amekuwa anaishi siku zote.

Yanukovych ni mtu anayetoka maeneo hayo ya mashariki yanayoongea kirusi, hivyo kama ni kweli kuwa walikuwa na uhasama na watu wanaoongea kirusi, jamaa huyo asingeweza kufikia kuwa rais wa nchi.

View attachment 2186750

Baada ya mapinduzi hayo ya wanachi yaliyomuondoa Viktor Yanukovych ndipo Putin akavamaia na kumega eneo la Crimea, halafu akawapa watu wa masharikisilaha ili wapinge serikali ya Kyiv kusudi wajitenge wawe karibu na urusi.

Sasa mapigano hayo ya mashariki yaliyoanzishwa na Putin mwenyewe ndiyo amekuwa anadai kuwa watu wanoongea kirusi wanauwawa.

Putin ana tatizo na kupanua sphere of influence kwa nguvu; bado anatamani Soviet Union irudi.

Kila nchi ambayo haikubalini naye amekuwa anatafuta makundi yanayoongea kirusi na kuyapa silaha kufanya vurugu halafu anayaita independent republic na kuyaunganisha kwenye Russian federation. Amefanya hivyo Georgia, Azerbaijan na sasa Ukraine.
Vizuri sana, tungepata miamba 10 kama Putin na 10 kama US duniani kila mtu average ya kuishi ingekuwa miaka 25 tungeheshimiana.
 
Back
Top Bottom