Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Mkuu kwamba unajitoa ufahamu kabisa kuwa Putin amekuwepo madarakani muda wote,hata kipindi amejishusha kuwa PM bado yeye ndiyo alikuwa powerful kuliko hata Rais aliyekuwepo.Putin anajiona ni Almighty wa Russia kwamba bila yeye hakuna Russia in his imaginary World.Serikali ya sasa imeingia madarakani 2019 ila hao wa ukraine wa mashariki walianza mapigano hata kabla ya awamu hii , pili serikali ilikuwa inawadhibiti waasi so rekebisha kauli yako ya kuua raia , huko mashariki upo mgawanyiko waukraine wengi wanauunga mkono serikali ila wale wanaoongea kirusi ndio ttzo maana wanatumika na Putin kuigawanya Ukraine