Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

Akiishambulia urus itamsafisha putin. Wote watakuwa wavamizi wa kivita.

Ukraine inachotafuta ni huruma na uungwaji mkono.
Exactly na ndiyo maana kwa sasa Putin ndiyo mvamizi,nilikuwa naangalia jana Aljazeera,team ya War Criminal presecutors wapo Bucha kushuhudia kile majeshi ya Russia yalikifanya wakati ule mji ukiwa chini yao.Ni swala la muda tu lakini huko mbeleni pana mtu mwisho wake utakuwa kama wa Slobodan Milosevic
 
Ni kweli kaka, ila japo Ukraine haina silaha nyingi za masafa marefu bado makombora yake yanauwezo wa kufika Russia bila tatizo...Kwa sasa Putin anapoteza sana sapoti kwa umoja wa mataifa na raia wake kwa sababu ya vita. Hii itabadilika pale Ukraine itashambulia Russia moja kwa moja ambapo itawafanya raia wa Russia wamsapoti raisi wao. Kwa ulaya hlo litakua pigo la kimkakati kwao. So hata maji yakimzidi Ukraine akaamua kuishambulia Russia kulipa kisasi US na washirika wake watailelekeza Ukraine kwa sababu hawatanufaika tena hapo
Wanacheza mchezo mzuri wa hatari...

Na putin kwa uamuzi wake ataondoka tu ama atakutana na misukosuko mingi sana mpaka kuwa stable kiutawala tena
 
Exactly na ndiyo maana kwa sasa Putin ndiyo mvamizi,nilikuwa naangalia jana Aljazeera,team ya War Criminal presecutors wapo Bucha kushuhudia kile majeshi ya Russia yalikifanya wakati ule mji ukiwa chini yao.Ni swala la muda tu lakini huko mbeleni pana mtu mwisho wake utakuwa kama wa Slobodan Milosevic
Ninachoogopa putin anaweza akagoma akasema kama mbwai mbwai tuu atakuwa mnyama zaidi.

Putin sio rahisi kukubali kufedheheka yule mshua
 
Kuna sehemu ya maelezo yako unachukua propoganda za Putin ambazo siyo kweli. Ukraine haikuwauwa watu wanoongea kirusi bali hizo ni propoaganda za Putin tu. Mgogoro wa Ukraine ulianza mwaka 2013 wakati rais wa Ukraine wakati huo Viktor Yanukovych alipokataa kusaini makubaliano ya Ukraine kuingia kwenye European Union kwa kufuata maelekezo ya Putin. Wananchi wa ukraine waliandamana mfululizo mitaani na kwa karibu miezi minne nchi ikawa haitawaliki, ikabidi bwana Yanukovych akimbie nchi na kukimbilia Urusi ambako ndiko amekuwa anaishi siku zote. Yanukovych ni mtu anyetoka maeneo hayo ya mashariki yanyoongea kirusi, hivyo kama ni kweli kuwa walikuwa na uhasama na watu wanoongea kirusi, jamaa huyo asingeweza kufikiwa kuwa rais wa nchi.
View attachment 2186750

Baada ya mapinduzi hayo ya wanachi yaliyomuondoa Viktor Yanukovych ndipo Putin akavamaia na kumega eneo la Crimea, halafu akawapa asiakri watu wa mashariki wapinge serikali ya Kyiv kusidi wajitenge wawe karibu na urusi. Sasa mapigano hayo ya mashariki yaliyoanzishwa na Putin mwenyewe ndiyo amekuwa anadai kuwa watu wanoongea kirusi wanauwawa.

Putin ana tatizo na kupanua sphere of influence kwa nguvu, bado anatamani Soviet Union irudi. Kila nchi ambayo haikubalini naye amakeuwa anatafuta makundi yanayoongea kirusi na kuyapa silaha kufanya vurugu halafu anayaita independent republic na kuyangunaisha kwenye reussian federation. Amefanya hivyo Georgia, Azerbaijan na sasa Ukraine.
Propaganda kazini.
FOsb4z6XoAw_iXU.jpg
 
USA na washirika wake wanaipa Ukraine silaha za kujihami tu, hawawapi silaha ya mashambulizi dhidi ya Urusi kama makombora ya masafa marefu n.k...hiyo ni Kumwezesha Ukraine kukabiliana na Urusi ndani ya ardhi yake bila kuchochea vita kubwa zaidi...USA na Washirika wake pia hawana lengo la kuharibu Russia kwa namna yoyote ile, wanataka tu Putin aondoke madarakani ili Russia ile nchi rafiki kwao. Ndio maana vikwazo vinavyowekewa Russia vinaumiza raia ili raia waamke dhidi ya serikali yao
Aisee
JamiiForums515241086.jpg
 
Ila pia Ukraine ilikua na uwezo wa kuishambulia Russia kwa makombora, sio lazima watumie vifaru kupita Donetsk nk. Inavoonekana Ukraine anakwepa vita kubwa zaidi na urusi, wanachokifanya ni kuitia Russia hasara ya wanajeshi na vifaa ndani ya Ukraine hadi raia wa Russia washinikize serikali iache vita. Hii pia ni njia ambayo Marekan na washirika wake wanaonekana wanaipenda, kwa sababu raia wa Russia wakikandamiza serikali ya putin kwamba imefanya maamuz mabaya kwa taifa, itawapa nguvu wapinzani wa kisiasa wa Putin na kufanya kazi ya kumtoa putin madarakani rahisi zaidi
[emoji16][emoji16][emoji16]
FO7xDUeXwAk2JLG.jpg
 
Ninachoogopa putin anaweza akagoma akasema kama mbwai mbwai tuu atakuwa mnyama zaidi.

Putin sio rahisi kukubali kufedheheka yule mshua
Ni kweli kabisa Mkuu,hapo alipo kwa sasa yupo kwa dilema,hawezi kuondoa majeshi Ukraine kwa kutotaka kufedheheka lakini pia kuendelea na vita kunaigharimu zaidi Russia.Ndiyo maana nikasema mwisho wake ni mbaya sana,Dunia ya sasa Diplomasia ni silaha kubwa sana kuliko kutumia maguvu.China pamoja na 'uswahiba' wake kwa Russia lakini hapa wame mute,unahitaji zaidi uungwaji mkono na Sehemu kubwa ya Dunia ili ufanikishe kile unachokikusudia kupitia vita.Ukienda kichwa kichwa kama alivyofanya Putin unajikuta katika wakati mgumu sana kama alionao sasa,kilichomponza alijua na hapa itakuwa bussiness as usual kama alivyofanya Crimea na Georgia na Dunia ikamtazama tu.
 
Ni kweli kaka, ila japo Ukraine haina silaha nyingi za masafa marefu bado makombora yake yanauwezo wa kufika Russia bila tatizo...Kwa sasa Putin anapoteza sana sapoti kwa umoja wa mataifa na raia wake kwa sababu ya vita. Hii itabadilika pale Ukraine itashambulia Russia moja kwa moja ambapo itawafanya raia wa Russia wamsapoti raisi wao. Kwa ulaya hlo litakua pigo la kimkakati kwao. So hata maji yakimzidi Ukraine akaamua kuishambulia Russia kulipa kisasi US na washirika wake watailelekeza Ukraine kwa sababu hawatanufaika tena hapo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FN-D_yxX0AEalmA.jpg
 
Sababu ili utoke Ukraine uende Russia inabidi upitie Maneneo ambayo kuna wa ukraine wanao ongea kirusi, na wa Ukraine wanao ongea kirusi wapo Against na serikali ya sasa maana ilikuwa ikiwaua na kuwatenga, hivyo wamejiunga na Urusi na wanapigana na serikali ya Ukraine.

Angalia hii ramani
INTERACTIVE-Russia-Ukraine-map-Who-controls-what-in-Ukraine-DAY-8.png

Hao kina Donetsk na Luhansk walikuwa wanapigana na Serikali ya Ukraine hata kabla Mrusi hajavamia, na Eneo Jengine kama Kharkiv Tayari limezungukwa na Urusi, Bandari Pia Zimechukuliwa.
Serikali ya sasa imeingia madarakani 2019 ila hao wa ukraine wa mashariki walianza mapigano hata kabla ya awamu hii , pili serikali ilikuwa inawadhibiti waasi so rekebisha kauli yako ya kuua raia , huko mashariki upo mgawanyiko waukraine wengi wanauunga mkono serikali ila wale wanaoongea kirusi ndio ttzo maana wanatumika na Putin kuigawanya Ukraine
 
Kwanni USA na washirika wake wanaipa silaha Ukraine......badala ya kuivamia Russia moja kwa moja ili kumaliza mzizi wa fitina?
Hawahusiki na huo mgogoro ilibid Urus aivamie NATO kwa kupokea mataifa ya mashariki ya kati ili NATO ipate sababu
 
Exactly na ndiyo maana kwa sasa Putin ndiyo mvamizi,nilikuwa naangalia jana Aljazeera,team ya War Criminal presecutors wapo Bucha kushuhudia kile majeshi ya Russia yalikifanya wakati ule mji ukiwa chini yao.Ni swala la muda tu lakini huko mbeleni pana mtu mwisho wake utakuwa kama wa Slobodan Milosevic
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] so funnyView attachment 2186773
FO5UG84XEAArrIr.jpg
 
Hata US na kelele zao zote wanaogopa kuwapa Ukraine assault weapons
Ela ya walipa kodi ya wamarekani haitumiki bila mipango tofauti na Urusi , Putin anavamia ukraine kisha anachukua akiba ya chakula cha Urusi anapeleka Ukraine , misuse of Russian resources
 
Ni kweli kabisa Mkuu,hapo alipo kwa sasa yupo kwa dilema,hawezi kuondoa majeshi Ukraine kwa kutotaka kufedheheka lakini pia kuendelea na vita kunaigharimu zaidi Russia.Ndiyo maana nikasema mwisho wake ni mbaya sana,Dunia ya sasa Diplomasia ni silaha kubwa sana kuliko kutumia maguvu.China pamoja na 'uswahiba' wake kwa Russia lakini hapa wame mute,unahitaji zaidi uungwaji mkono na Sehemu kubwa ya Dunia ili ufanikishe kile unachokikusudia kupitia vita.Ukienda kichwa kichwa kama alivyofanya Putin unajikuta katika wakati mgumu sana kama alionao sasa,kilichomponza alijua na hapa itakuwa bussiness as usual kama alivyofanya Crimea na Georgia na Dunia ikamtazama tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums-1142540770.jpg
 
Ni kweli kaka, ila japo Ukraine haina silaha nyingi za masafa marefu bado makombora yake yanauwezo wa kufika Russia bila tatizo...Kwa sasa Putin anapoteza sana sapoti kwa umoja wa mataifa na raia wake kwa sababu ya vita. Hii itabadilika pale Ukraine itashambulia Russia moja kwa moja ambapo itawafanya raia wa Russia wamsapoti raisi wao. Kwa ulaya hlo litakua pigo la kimkakati kwao. So hata maji yakimzidi Ukraine akaamua kuishambulia Russia kulipa kisasi US na washirika wake watailelekeza Ukraine kwa sababu hawatanufaika tena hapo
Ndio maana wameanza kujishambulia
 
Mkuu unataka kuharibu huu mjadala na hizi petty comments zako.Umekuta watu wanajadiliana kwa kina unataka kuharibu flow ya thread,rudi kule kwenye 'Live' ukaflood hizi comment zako please.
[emoji16][emoji16][emoji16] hii Ndio maana ya demokrasia mnayoililia kila siku nyie Wamarekani wa Kishapu,vipi mbona umeanza kupaniki kizembe?
Screenshot_20220409-000518.jpg
 
Back
Top Bottom