Kupanga ni kuchagua. Unaweza ukachagua ukae kusubiri kazi ya ndoto zako hata miaka kumi au ufanye kitu kingine uingize kipato wakati unasubiri hio kazi ya ndoto zako.Kuna tofauti ya kuitokuwa na Pesa/Kipato na kutokuwa na kazi.Kuna watu wengi sana ambao wanaishi maisha ya kuunga unga kwa ndugu,wazazi na marafiki na wanatoka katika familia zinazojiweza kikipato.Wanachokosa na kazi itakayowawezesha kuwa PRODUCTIVE hasa kwa kuzingatia SKILLS,EXPERIENCE na ASPIRATIONS/NDOTO zao.Kwa mafano wapo wengi ambao wanao mtaji wa kuuza GENGE au KARANGA lakini je,NDOTO ZAO na EXPERIENCE yao na SKILLS zao zinawatuma kuuza KARANGA?Jibu ni hapana.
SO tusiwalaumu wanaomiliki IPHONE latest kwa sababu wengine wanahongwa tu.TUJIULIZE JE tuna fanyeje ILI NCHI YETU iwe TAIFA la WATU kutimiza NDOTO zao badala ya kuishi maisha ya kuokoteza?
ππππKuna basic needs na luxury needs,
Simu ya milioni tatu ni luxury needs, ni liability.
HallelujahAkili ni nywele kila mtu ana zake
ππππKupanga ni kuchagua. Unaweza ukachagua ukae kusubiri kazi ya ndoto zako hata miaka kumi au ufanye kitu kingine uingize kipato wakati unasubiri hio kazi ya ndoto zako.
Sasa wenye vipara wanaruhusiwa ku-comment?Akili ni nywele kila mtu ana zake
Simu inetumika kama mfano tu..Sijawahi kununua simu ya zaidi ya laki 4 japo uwezo nnao sijui ni ubahili sielewi
Ubaya wahenga hawaja sema ni nywele za wapi ko unaruhusiwa ku commentSasa wenye vipara wanaruhusiwa ku-comment?
Kuna kabaamedi hapa Bunju kana simu ya laki 7. Lakini kanaomba vocha ya 500. Mshahara wake elfu 80. ... ila kuna wanaume wanajua kuhonga wallah...