OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,125
- 24,062
Shada nimeuza sana chali yangu kule singida singidani kipindi io nasoma chuo cha uhasibu TIA ..sero za pale singidani wale ma pai wananijua vizuri sana maana nimedakwa na kulala sana na kuchomoka sema nilikuwa napigwa ela ndefu sana hadi 400k kama dhamana ..kuna kipindi ilikuwa ukishikwa na kama umetokea chuga maana lafudhi yetu inajulikana ..basi wewe unageuzwa mradi na ma cops na watakugombania, maana chuga ndo ilikuwa centa ya shada Kanda ya kati hadi huko mwanza tulikuwa tunapeleka kimafia sana hadi zile ma mbwa zao zinanusa lakini hazisikii harufu hahahaha noma sana chali yangu.Unaweza kupata pull kadhaa za shada chaliangu ukawa pusher. Kikubwa connection kama unataka connection nikupe.