jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Kumbe nawewe hupendi kumpa sifa yake mungu inapopaswa....!Mtoa posti yeye kauliza kwa nini watu tunakufa halafu wewe unaanza kuingiza habari za mungu. Hivi hamuwezi kujadili bila kumhusisha mungu?
Umesoma title tu, then ukafanya uchambuzi superficially ndio maana.Mtoa posti yeye kauliza kwa nini watu tunakufa halafu wewe unaanza kuingiza habari za mungu. Hivi hamuwezi kujadili bila kumhusisha mungu?
Sifa ipi hiyo? Kati ya mimi na wewe nani hajamuelewa mtoa mada? Umeisoma vizuri hii posti au unakimbilia kumtaja mungu tu kwa sababu ya uvivu wako wa kufikiri?Kumbe nawewe hupendi kumpa sifa yake mungu inapopaswa....!
##nahis haujamuelewa, mtoa mada##
Ukifikiri ndo utamtaja mungu ila usipofikiri hautomtaja munguSifa ipi hiyo? Kati ya mimi na wewe nani hajamuelewa mtoa mada? Umeisoma vizuri hii posti au unakimbilia kumtaja mungu tu kwa sababu ya uvivu wako wa kufikiri?
Mkuu mungu pale kwenye kitengo cha pumzi kuna siri kubwa sana kaweka kiasi kwamba binadam ata awemtaalam vipi ni ngumu kuweza kutengeneza!!!!kwa hiyo sababu ndiyo hiyo ya kujaa au?? Nashindwa kuelewa kabisa kwa nini tunashindwa kufufuana pindi tukifa , maana hii sayansi yetu imefika mbali sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukifikiri ndo utamtaja mungu ila usipofikiri hautomtaja mungu
Binadamu hajaumbwa na binadamu mwenzake mpaka aweze fuduliwa..Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Binadamu hajaumbwa na binadamu mwenzake mpaka aweze fuduliwa..
[HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] Jr iwapo kungekuwa na gari lililoumbwa na Mungu nadhani hata nalo kupona ingekiwa mbinde
wengine humu humu wanakwambia Mungu hayupo kama chamilton na kaka yake kirangahilo swali lina wahusu sana wanao waamini wanasayansi zaidi kuliko uwepo wa Mungu. Kama sayansi ndio kila kitu basi mtu angekuwa anafufuliwa. ila kwavile ni ngumu sana hapo ndipo inabidi muelewe kuwa kuna nguvu ya Muumba wa mbingu na ardhi. anae control maisha ya viumbe wake.
Mungu ndiye pekee mwenye siri ya kifo. Na tunakufa ili kurudi kwake kupeleka hesabu ya matendo tuliyokuwa tukiyafanya duniani.
sababu ni HAKI yetu.Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Haki yetu kufaa?????sababu ni HAKI yetu.