The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆 na hata wewe uliyejiandikisha utaona jina lako tu.