GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.
Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.
Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.
Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.
Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.
Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.
Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.
Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.