Kwanini Trump hajawahi kupewa tuzo hata moja?

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
Na ilhali ameifanyia mengi mazuri Marekani na Duniani kwa ujumla.

Kama ilivyo kwa obama ukiachana ubaya wake na mazuri yake yalikuwepo lakini bwana yule tuzo kwake zilikuwa zinamiminika kila siku.

Kama Trump angekuwa ni mwafrika watu wangesema ni ubaguzi wa rangi ila kwa sababu Trump ni mzungu hiyo inaonekana ni kawaida tu.

Ukisoma media nyingi Trump analaumiwa zaidi kuliko vile ambavyo inafaa kushukuliwa.

Wajuzi wa mambo naomba mnipe utofauti wa Trump na Obama hadi yeye Obama tuzo zilikuwa zinammiminikia kila siku.
 
Acha kumfananisha Obama namambo yakipumbavu
Japokua wote kuwakubali ila yule bwege waobama alikua mastermind huyu wasasa hivi anapesa tu ila akili hana

Labda apewe tuzo yakupelekwa impich kwmara nyengine atakapo shinda

Mungu amjaalie ashinde kwakishindo KIKUBWA sanaaa.....
 
Imani haswa inazingatiwa ukiwa mfuasi wa imani ile uTapewa matuzo meeng na kujulikana sana lkn ukiwakataa watataka hata utoke kwenye kiti chako hata kama ni bora kiasi gani..
 
Tuzo za kijinga? Trump mission yake ni moja tu, MAKE AMERICA GREAT AGAIN hayo mengine matakataka and he is really doing great job!
 
Acha kumfananisha Obama namambo yakipumbavu
Japokua wote kuwakubali ila yule bwege waobama alikua mastermind huyu wasasa hivi anapesa tu ila akili hana

Labda apewe tuzo yakupelekwa impich kwmara nyengine atakapo shinda

Mungu amjaalie ashinde kwakishindo KIKUBWA sanaaa.....
... kipindi cha Obama ndipo ushoga ulitangazwa na kuenea US na duniani kuliko kipindi kingine chochote katika historia hadi ndoa za mashoga zilifungwa WH! Huyo ndiye wa maana? Trump hata kutaja neno shoga sina hakika kama amewahi kufanya hivyo. Tatizo hamjui mnataka na mnasimamia nini.
 
punguza basi munkari kijana kwahio baada yayeye kuingia WH ushoga umeondoka

Nnachotaka mimi DT ashinde kwakishindo ili aendeleze hapa anapo achia sasa maana nnahofu sana atakuja kuingia kiongozi smart halaf aje afanye mambo yamaana yatakayoirejeshea US heshma yake inayopotea kwakasi

Ila punguza munkari

Nnachompendea DT nikwamba anawavuruga US kuliko rais yeyote nnaemkumbuka kuwahi kuiongoza US
 
Trump kujizuia tu kutoutangaza ushoga amefanya kitu kikubwa sana. kwa sababu vitu vingi vinaenea kwa matangazo.
 
In fact upo sahihi kabisa nakwahili naungana na DT kwa 100% ila kwani unahisi ambao tunamuona DT kilaza ndio tunaunga mkono ushoga ama usagaji ?!

Nakama DT anataka kupewa tunzo/tuzo unahisi kwakuzuia ama kutouongelea ushoga ndio atapewa hizo medali ?!

Nakwanini unahisi jamaa hapo juu kaongelea ushoga tu inamaana ushoga ndio point yamsingi yakumpa RAIS wataifa kubwa kama US hayo yalotajwa hapo juu!?

US inamambo mengi nayamsingi sana zaidi yahuo ushoga(siungi wala kuupenda ushoga ila kumtetea DT kwasababu ya ushoga sidhanii kama nijambo lamsingi sana japo hajaonesha kuliunga mkono kwa 100%)

Hizo tunzo/tuzo zina angalia vigezo vingi ambavyo DT hana DT kawagawa wamarekani DT watu wamemuimpeach DT kaifanya US iwe haina muunganiko kama waawali DT kaifanya US ipoteze ushawishi katika baadhi yamashirika kama WHO namengineyo kiufupi DT anaipunguzia naikushushia heshma US kiasi kwamba hivyo alivyopata mtangulizi wake hastahili kuvipata hata robo

:-binafsi napenda DT aendelee kuitawala US napenda ashinde kwakishindo sababu najua hatobadilika ataiendesha US kama alivyoiendesha kwa term yakwanza jambo ambalo litakua linazidi kuporomosha ushawishi wa US baadhi yasehemu muhimu

Twende na DT
 
Kosa kubwa alilolifanya trump ni kupinga ushoga waziwazi
Weweee....nchi ya marekani haiongozwi kama hilo GETO lenu la Tanganyika.

Maswala ya homosexuality nchini marekani ni maswala yaliyowekwa na sheria pamoja na maamuzi ya mahakama ya JUU (THE LAST APPELLATE COURT).

Katiba yao pamoja na amendments zote zimeweka ulinzi kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Sheria mbalimbali zimetungwa na kufutwa ili ku criminalize homophobia na vitendo vyote vya chuki.

Sio Donald Trump wala Obama anayeweza kufanya lolote kuhusu ushoga nchini marekani.

Licha ya maoni binafsi kuhusu ushoga, bado Trump hawezi kufanya kosa la kupinga ushoga. Hilo litakuwa ni kosa kubwa sana la kisiasa na hawezi KUTHUBUTU kujaribu.
 
Trump ni bogaz kwelikweli,ila ana mazuri yake japo hayafikii yeye kupewa tuzo
 
In fact upo sahihi kabisa nakwahili naungana na DT kwa 100% ila kwani unahisi ambao tunamuona DT kilaza ndio tunaunga mkono ushoga ama usagaji ?!

Nakama DT anataka kupewa tunzo/tuzo unahisi kwakuzuia ama kutouongelea ushoga ndio atapewa hizo medali ?!

Nakwanini unahisi jamaa hapo juu kaongelea ushoga tu inamaana ushoga ndio point yamsingi yakumpa RAIS wataifa kubwa kama US hayo yalotajwa hapo juu!?

US inamambo mengi nayamsingi sana zaidi yahuo ushoga(siungi wala kuupenda ushoga ila kumtetea DT kwasababu ya ushoga sidhanii kama nijambo lamsingi sana japo hajaonesha kuliunga mkono kwa 100%)

Hizo tunzo/tuzo zina angalia vigezo vingi ambavyo DT hana DT kawagawa wamarekani DT watu wamemuimpeach DT kaifanya US iwe haina muunganiko kama waawali DT kaifanya US ipoteze ushawishi katika baadhi yamashirika kama WHO namengineyo kiufupi DT anaipunguzia naikushushia heshma US kiasi kwamba hivyo alivyopata mtangulizi wake hastahili kuvipata hata robo

:-binafsi napenda DT aendelee kuitawala US napenda ashinde kwakishindo sababu najua hatobadilika ataiendesha US kama alivyoiendesha kwa term yakwanza jambo ambalo litakua linazidi kuporomosha ushawishi wa US baadhi yasehemu muhimu

Twende na DT
Eti kawagawa wamarekani! Ebu elezea kawagawa kiaje?! Hivi kuna kipindi wamarekani wameungana kwa pamoja bila kujali rangi zao kupinga akandamizaji na ubaguzi Kama kipindi hiki cha Trump?
 
Kosa kubwa alilolifanya trump ni kupinga ushoga waziwazi, hao wanaompinga ukiwauliza sababu ya kumpinga kwa nguvu kubwa kiasi hicho hawana jibu la maana.

Tukiwa tunawaambia DT akili hana kajaaliwa pesa tu mnabisha halaf mnamficha katika kivuli cha ushoga
 
Weweee....nchi ya marekani haiongozwi kama hilo geto lenu la Tanganyika.

Maswala ya homosexuality nchini marekani ni maswala yaliyowekwa na kulindwa na sheria pamoja na maamuzi ya mahakama.

Sio Donald Trump wala Obama anayeweza kufanya lolote kuhusu ushoga nchini marekani.

Licha ya maoni binafsi kuhusu ushoga, bado Trump hawezi kufanya kosa la kupinga ushoga. Hilo litakuwa ni kosa kubwa sana la kisiasa na hawezi KUTHUBUTU kujaribu.

Ndo alishafanya sasa hilo kosa kubwa na ndo linalomgarimu hadi sasa.
 
Eti kawagawa wamarekani! Ebu elezea kawagawa kiaje?! Hivi kuna kipindi wamarekani wameungana kwa pamoja bila kujali rangi zao kupinga akandamizaji na ubaguzi Kama kipindi hiki cha Trump?
ukirejea maswala yalopelekea impeachment utaelewa kawagawaje

Katuhumiwa kusaidiwa na RUSSIA (kuwagawa huku) kazituhumu media kibao kama zinamnyanyasa kwakuwapendelea Demo(kuwagawa huku)rejelea tuhuma zajuzi hapa za republican mwenzake BOLTON (yaan mpaka kwenye wanachama pia hawaelewani kawagawa nahapa) rejelea sababu alizozitaja Bolton wakati anaachia ile nafasi alokua nayo DT alisema nini nae BOLTON alisamaje(hapa waligawiwa tayari wenyewe kwa wenyewe) rudia juzi hapa katika suala la maandamano ya baada kufa floyd wengine wanasema maamuzi ya DT kuhusu kupeleka Guard yataifa alikua sahihi wengine wanakataa( washagawiwa hapa)

:-hakuna jambo ambalo linakubaliwa nawote ila DT alipingwa kwakiasi kikubwa sana katika maamuzi yake aloyachukua ambayo nimeyaorodhesha hapo juu ukitaka ushahidi mwengine utasema...
 
Back
Top Bottom