Kwanini Trump hajawahi kupewa tuzo hata moja?

Ndo alishafanya sasa hilo kosa kubwa na ndo linalomgarimu hadi sasa.
alifanyaje alipinga ushoga ?! nakama alipinga aliupinga wapi ?! Alisema nini ?!naje huo ushoga upo ama haupo ?!

Mungu ajaalie DT ashinde ushindui wakishindo azidi kuimaliza states maana akija kiongozi anaejielewa mambo yataenda kombo
 
ukirejea maswala yalopelekea impeachment utaelewa kawagawaje

Katuhumiwa kusaidiwa na RUSSIA (kuwagawa huku) kazituhumu media kibao kama zinamnyanyasa kwakuwapendelea Demo(kuwagawa huku)rejelea tuhuma zajuzi hapa za republican mwenzake BOLTON (yaan mpaka kwenye wanachama pia hawaelewani kawagawa nahapa) rejelea sababu alizozitaja Bolton wakati anaachia ile nafasi alokua nayo DT alisema nini nae BOLTON alisamaje(hapa waligawiwa tayari wenyewe kwa wenyewe) rudia juzi hapa katika suala la maandamano ya baada kufa floyd wengine wanasema maamuzi ya DT kuhusu kupeleka Guard yataifa alikua sahihi wengine wanakataa( washagawiwa hapa)

:-hakuna jambo ambalo linakubaliwa nawote ila DT alipingwa kwakiasi kikubwa sana katika maamuzi yake aloyachukua ambayo nimeyaorodhesha hapo juu ukitaka ushahidi mwengine utasema...
Una kichaa wewe hizo tuhuma zote si Congress wala CIA au FBI wamewahi kuthibitisha hizo allegations. Nakushangaa wewe umezidi kushikiria hizo hoax scandals za democratic.
 
Hizo tuhuma gushi tena dhidi ya wanasiasa wenzake ndo unaita kuwagawa wamarekani! Afu tuhuma zenyewe zilishathibitika ni uongo afu we ndo unazishadadia leo hapa! Tumeshuhudia wamarekani wameungana kupinga ubaguzi lakin wewe unatuambia wamegawanyika, Sasa elezea wamegawanyikaje?
 
Nandio maana nikakwambia kama jamaa kawagawa wa US kuhusu kuthibitisha ama kutothibitisha hilo sio langu ila hizo tuhuna nimojawapo ya dalili kwamba jamaa wamegawika

Ulishawahi kusikia ama kuona tuhuma kama hizo toka kwa rais yupi wa US ambae umemshuhudia ?!...

punguza jazba lakini twende taratibu taratibu tunaeleweshana tu hapa MKUU
 
Hujui kama tuhuma zinakuja baada yakua watu hamuaminiani ?!

Waliungana kuupinga ubaguzi sijakataa nawala sijabisha ila waligawanyika katika njia zakuzuia maandamano yalokua yanaendelea...
 
katika
Na ilhali ameifanyia mengi mazuri marekani na duniani
Kwa ujumla.
Kama ilivyo kwa obama ukiachana ubaya wake na mazuri yake yalikuwepo lakini bwana yule tuzo kwake zilikuwa zinamiminika kila siku.

Kama trump angekuwa ni muafrika watu wangesema ni ubaguzi wa rangi ila kwa sababu trump ni mzungu hiyo inaonekana ni kawaida tu.
Ukisoma media nyingi trump analaumiwa zaidi kuliko vile ambavyo inafaa kushukuliwa.

Wajuzi wa mambo naomba mnipe utofauti wa trump na Obama hadi yeye obama tuzo zilikuwa zinammiminikia kila siku.
marais wote wa marekani
, rais boya kwangu mm ni obama, huyu boya alikuwa na iwezo wa kuzuia GADDAFF asiuawe. yeye akapigilia msumari na hatimaye gaddaff akauawa
 
Nandio maana nikakwambia kama jamaa kawagawa wa US kuhusu kuthibitisha ama kutothibitisha hilo sio langu ila hizo tuhuna nimojawapo ya dalili kwamba jamaa wamegawika

Ulishawahi kusikia ama kuona tuhuma kama hizo toka kwa rais yupi wa US ambae umemshuhudia ?!...

punguza jazba lakini twende taratibu taratibu tunaeleweshana tu hapa MKUU
Huna unalojua kuhusu POTUS fuatilia mambo... Hujui siasa zinavyoenda kijana... Lowasa anaitwa fisadi lakini hutakuja kuona anapelekwa mahakamani. Trump aliahidi kuwapeleka mahakamani Hillary Clinton na Barack Obama kwa mauaji ya Libya ila umeshaona amewapeleka. Hizo scandal za Trump nyingi Democrats cooked scandals.

Halafu unapotesa Marekani hakuja wahi kutokea scandal Kama za Trump inaonesha namna gani bado mtoto mdogo kwa hizi duru ... Unazijua scandals za Bill Clinton ( Tena sio scandal maana kabla ya impechment alikiri makosa.ingia humu uone https://quizlet.com/213223483/clinton-scandals-flash-cards/

Chukua muda kujifunza vitu

Unashindwa kujua hata Kipindi Cha Obama ndio kaua watu wengi Libya na kumuua ghadafi.. Trump hajawahi kuwa na sio muumin wa vita ila kwasababu umekaririshwa huna unalojua.ningetegea ungekuja kumfungulia Obama Uzi kwa kuiharibu Libya na kukiri hadharani kuwa Ni kosa analojutia ila unakuja kwa Trump asie muumin wa vita.
 
Hizo tuhuma gushi tena dhidi ya wanasiasa wenzake ndo unaita kuwagawa wamarekani! Afu tuhuma zenyewe zilishathibitika ni uongo afu we ndo unazishadadia leo hapa! Tumeshuhudia wamarekani wameungana kupinga ubaguzi lakin wewe unatuambia wamegawanyika, Sasa elezea wamegawanyikaje?
Hao ndio watanzania anajifanya anajua kila kitu na ukute ana degree ameshindwa hata ku Google kuangalia ukweli wa anachokiandika
 
kuna mambo hayahitaji kugugo kupitia hizo tuhuma unaona kabisa kama kuna mpasuko

Unatakiwa ujiulize kwanini wanamtuhumu ama aamemtuhum ?!
 
Hujui kama tuhuma zinakuja baada yakua watu hamuaminiani ?!

Waliungana kuupinga ubaguzi sijakataa nawala sijabisha ila waligawanyika katika njia zakuzuia maandamano yalokua yanaendelea...
kwa hiyo watu kutofautiana mawazo kuhusu solution ya Jambo fulani ndo Rais kugawa wananchi?! Kwa mtazamo wako huo ni rais gani Sasa ambaye hajawahi kugawa wananchi!! Afu hapohapo unasema waliungana kupinga ubaguzi sasa mbona husemi Trump kawaunganisha wamarekani. Ama kweli Kupinga ushoga kunamponza trump
 
jamaa linachekesha sana, au sio riziki hii mtu
 
Back
Top Bottom